[Audio] Wastara Azungumzia Alivyoinadi CCM na nyumba Zake Kuwekewa Alama "X"

Wastara Juma ni mmoja wa wasanii maarufu wa filamu nchini Tanzania.

Katika audio inayosikika kwenye video iliyopachikwa hapo chini, anazungumzia anazungumzia kuhusu nyumba zake kuwekwa alama ya "X" kwa ajili ya kubomolewa, huku akigusia kujitoa kwake kufanya kampeni ya kukinadi Chama Cha Mapinduzi kiasi cha kuugua.

MSIKILIZE HAPA WASTARA:

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani mimi sio CCM lakini hapa bibie umechemka,
    1.Naamini unasema hayo yote kwa kuwa umewekewa X.
    2.X ndio taarifa kwamba utabomolewa,sasa kama una pingamizi
    ndio unatakiwa uende mahakamani.X sio kwenye mafuriko tu
    bali hata kwenye ujenzi holela.
    3.kama makamu wa rais anakujulia hali ndio serikali
    yenyewe,au unataka viongozi wote waje wakuone?
    4.Halafu hata kingepita chama kingine sidhani kama viongozi
    wake wangekubali wananchi wakae maeneo holela au mabondeni,
    ila hapo tukubali kwamba wanatakiwa waandae mikakati
    thabiti ya kuwaweka wahanga kabla ya kubomolewa.
    5.Kama umepigia debe CCM sio kigezo cha kuachwa kwenye zoezi
    hili,
    unatakaje?kwamba wa vyama fulani ndio tuwe na matatizo?
    Magufuli ni wa wote.
    6.Swala la kununua kiwanja mabondeni kunatokana na kipato
    sio kweli,kwa nini usiende nje ya mji?ni kwamba watu
    tunapenda kukaa mjini sana.Zoezi linaumiza lakini tutazoea
    ili hata chama kingine kikiingia madarakani nchi iwe na
    mpangilio.

    ReplyDelete
  2. wasani wa bongo bhana khaa
    kwa kula ulijitoa kwa ccm sasa unataka wakuache uko mabondeni ubebwe na maji sio
    ttz wa sanii wa bongo kikwwete aliwazoesha vibaya

    ReplyDelete
  3. Huyu kweli mburula

    ReplyDelete
  4. ziro kweli ulikuwa unajirekodi hata nikajua uko na press conference
    wasting of time and data
    dk 7

    ReplyDelete
  5. Nilishakuambia Dada . mtafute yesu. Anusamehe.anabariki.hiyo mapepo ya mikosi atayatoa. Kwa kuwa hakuna jina wala chanzo kinashinda jina LA yesu.utakuwa salama

    ReplyDelete
  6. Umesema ukweli kbs hii serikali ni ya uonevu kbs wanajijali wenyewe hakuna kuwapa kura 2020

    ReplyDelete
  7. Hoja yako ni ipi?
    1. Kubomolewa wakati ulikuwa kwenye kampeni? kwani hukulipwa wakati wa kampeni?


    2. Malalamiko yako umetumwa na waathirika wenzako au ni mawazo yako tu.

    3. Unataka matibabu ya kuumwa au unalalamika kuwekewa x

    kwa ufupi huna hoja yenye mashiko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad