Kilichotokea Zanzibar kimeihuzunisha dunia,” amesema Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. “Watanzania waelewe, kilichoishitua dunia ni kule kufuta matokeo kwa ujumla wake. Yaani majimbo yote hakuna hata moja lililofanya vizuri? Hapa ndipo tunapata kigugumizi. Sasa tunakwenda wapi, tunafanya kitu gani?
Wanaoungana na Mh. Membe wacomment neno 'YES' na wanaompinga waseme 'NO'
Benard Membe “Kilichotokea Zanzibar Kimeihuzunisha Dunia”
7
January 23, 2016
Tags
Yes
ReplyDeleteYetu macho
ReplyDeleteBado tuingie mitaani na mavaziiiiiiiiiiii ya kijeshiiiiiiiiii
Chezea CCM
no
ReplyDeleteangeongea mwingine ningesema sawa lakn si membe
ReplyDeletehuyu ni mnafiki wa siasa
nadhan baada ya kukosa uwaziri ndo kaanza propaganda zake
Wala siyo swala la uwaziri alikuwa anata uraisi
ReplyDeleteNi nyinyi Viongozi wa CCM wa ngazi za juu muone haya. Inabidi mchukuliwe hatua kali. Mnang'ang'ania CCM ishike dola milele. Ni nyinyi mnajidharalisha. Kinachoshangaza toka Raisi wa awamu ya nne na mawaziri wote wa mambo ya ndani na nje, Mlisifika sana na wengine nnepewa medali nyingi za hali ya juu kuleta amani nchi nyingine. Kwenu mmeharibu. Hamjali. Mnasikiliza ya dunia mnaacha nyumbani bila nguo. Dunia agani unayoizungumzia. Ni Aibu kwa Watanzania nyumbani msiowaheshimu. MMliwaheshimu mataifa makubwa yenye inerests zao nchini na mmewapa. Sasa wanaogopa hwajui hatma zao . Mliwafanyia kazi zao na kuwatukuza, mkawalza chini Watanzania ambapo Magufuli mmemwachia mzigo mzito na bado hamridhiki na anayoyafukua.Ondoeni ujanja na mbinu chafu.
ReplyDeleteYES
ReplyDelete