Breaking News: Huku Sakata la Nyumba zake Kutaka Kubomolewa Wastara Afunga Ndo na Mwenyekiti wa UVCCM

Wakati sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwa X ikiwa bado haijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh,haya,mbona mambo juu ya mambo?
    Huku nyumba zina X lakini bora umepozwa machungu kidogo maana umepata mume mu-CCM humohumo unakojutia kupigia debe kiaina.
    HONGERA SANA DADA.

    ReplyDelete
  2. Hongera
    Sasa basi tena kwenye mitaandoni
    Tulia mke wa Mtu wewe

    ReplyDelete
  3. Hi ndoa inatia shaka
    Mengi yamesemwa pande zote mbili
    Au ni kuficha yaliyo nyuma ya pazia
    Ili nasi tuonekane watu wa kawaida

    ReplyDelete
  4. huyu shemeji alikuwa hajaoa???

    ReplyDelete
  5. Hats akioa anauwezo kuongeza uwezo wk ndio unaomuonguza kwa my sister wastara tulia ushakua mtu mzima mipombe Na kuuza sura achana nayo kabisa .hongera mno

    ReplyDelete
  6. Tangu lini Kuchu akaowa jamani
    Bi arusi ana kashfa ya usagaji
    Yale Yale ya fatuma said ally Na balozi wetu Swiss
    CCM wacha tu
    Magufuli una kazi

    ReplyDelete
  7. Huyu dada super so natural tatizo lake hajatulia lkn m.mke hasa wa kumueka ndani hongera Na mashaalah you so beautiful

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad