Hali ya sintofahamu imeendelea ndani ya bunge baada ya wabunge wote wa Upinzani kutoka ndani ya bunge mara baada ya Wabunge kuanza kuchangia hotuba ya Rais.
Baada ya kipindi cha Maswali na Majibu, yalifuata matangazo na baada ya Matangazo, wabunge wakaanza kuchangia hotuba ya Rais Magufuli .
Wakati hayo yakiendelea, wabunge kadhaa wa UKAWA akiwemo mbunge wa Ubungo(chadema), Saed Kubeneawalikuwa wakiomba muongo wa Naibu Spika ili waongee lakini hawakupewa nafasi.
Naibu Spika alikataa miongozo hiyo na kulitaka Bunge lijikite katika kujadili Hotuba ya Rais. Hali hiyo iliwakera wabunge wa upinzani kwa madai kuwa wamezibwa midomo na hivyo wakaamua kutoka nje ya ukumbi wa bunge
Mwambieni asafishe kikwapa chape kinachonuka
ReplyDeleteTulijuwa huyu pandikizi la ccm
Kanuni kazijuwa wapi za bunge hata miezi hana
Ubabe aupeleke mahakamani
Fyuuu Tulia
ndugai kwanini anaendesha bunge na matempa? nchi za africa bwana zimezongwa na uswahili, roho mbaya na ushamba
ReplyDeleteHawa watu Sasa wamenichosha
ReplyDeleteMi nilidhani uongozi wa sasa kuanzia ngazi ya juu mambo yatabadilika eeh kumbe ni yale yale ama kweli waliimba ccm ni ile ile
ReplyDeleteWamekuja Na stail ya ma dk, professor, wanajeshi
ReplyDeleteCcm Tanzania haiongozwi na hayo
Tanzania inataka waadilifu na siyo watishaji watu
Kila kona dk , maprofesa Na wengine kupewa u ukuu WA wilaya
Au katibu mkuu
Mnadhalilisha elimu
Ndo maana vasco kila chuo ana PhD
Mbona mkapa Hana hizo PhD
UDIKTETA UMEKWISHAPIGA HODI TANZANIA.WABUNGE WETU UKAWA SHIKAMANENI ZAIDI.UNALAZIMISHA KUJADILI HOTUBA AMBAYO HATUIUNGI MKONO,HUO NI WEHU NA WENDAWAZIMU.WABUNGE WETU UKAWA WAKIOMBA RUKSA KUTOA HOJA,HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO,DAWA NDIYO HIYO,KUWAACHIA UKUMBI CCM,KWANI WANAJADILI YA KWAO.SASA HIVI ANZENI KUKUSANYA KURA ZA KUTOKUA NA IMANI NA WAZIRI MKUU,SPIKA NA NAIBU WAKE NA PIA MWENYEKITI WA BUNGE.KWA MIAKA HII MITANO TWENDE HIVYO.HAKUNA KULALA,WANANCHI WENGI TUNAWAUNGENI MKONO.WOTE KWA PAMOJA TUKEMEE UDIKTETA.NI UHALIFU MKUBWA WA DEMOKRASI NA MAENDELEO.WANAFIKIRIA KUTAWALA HAWAFIKIRII MAENDELEO.
ReplyDelete