Breaking News: Viongozi wa Chadema Wajichimbia Mafichoni Kukiunda Chama Upya Baada ya Kushindwa Urais 2015

Viongozi wa CHADEMA wamekutana huko Mkoani Kilimanjaro kwenye kikao kizito cha kimkakati cha kukisuka upya chama chao

Lowassa, Sumaye na Mzee Kingunge kutoa msaada mkubwa wa kukifanyia ukarabati chama.

Inadaiwa kikao hicho kimeendeshwa kwa usiri mkubwa
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waandishi wa habari bwana,ni sheeeeeeeda!Kama kikao kimeendeshwa kwa usiri mkumbwa wewe umeyajuaje hayo uliyoyaandika?wewe ni Mbegesi?

    ReplyDelete
  2. Ngoja tuone,lakini kwa kawaida kabisa haiwezekani kumtoa mdudu aliyeingia ndani ya kokwa la embe bila kulipasua.

    ReplyDelete
  3. Hamna kitu kama viongozi watakuwa walewale,na bado wamekumbatia mafisadi,mnajitekenya mcheke wenyewe?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad