Breaking News:Zitto Kabwe Atoa Kauli Nzito Kuhusu Bango la CCM Lililoleta Utata wa Kibaguzi Zanzibar

"Siasa za Hatari sana hizi, Siasa za kibaguzi. Siasa zinazopaswa kulaaniwa na kila mpinga ubaguzi nchini. Nitashangaa sana kama wakubwa CCM hamtaomba radhi kwa siasa hizi hizi mbaya kabisa. What will be the stop?"

By Zitto Kabwe

Udaku Special Blog

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makubwa haya Asante zitto
    Magufuli Upo

    ReplyDelete
  2. CCM hiyo Picha hii ipelekeni UN

    ReplyDelete
  3. Kwa miaka kumi, ccm imeendeshwa kwa ujinga, fikra mbovu, ufisadi, kiuswahili na viomgozi wasio na maadili, elimu safi, hekima wala akili. Wafuasi wengi pia imeonekana wana elimu chache na wamekuwa mashaki kama bendera ifiatayo upepo. Elimu imeshuka na imeleta madhara makuu nchini. Tatizo ni uongozi wa juu ulikuwa hivi. Haukuwa na msomamo wowote, ilikuwa ni genge lililotaifisha mali, sheria, nchi iliendeshwa bila hadhi. Ni lazima Watanzania wote kwa hilo wsungane na kuleta katiba mpya kukomesha utawsla wa namna hii usirudie tena na wahusika wa hukuliwe hatua. Ingawa namsifu zito kwa kauli hii lakini hata yeye ni kigeugeu. Alishindwa kusimama imara na kumkosoa Kikwete kwa kuipeleka nchi mpaka kufikia hapa ambapo inampa kazi ngumu raisi wa sasa. Inabidi raisi waawamu ya nne na achunguzwe kiuangalifu sana.ameiweka Tanzania njia panda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. uNDA CHAMA CHAKO CHA KICHAGA ILI KIKUSAIDIE MAANA CCM NI YA WATANZANIA

      Delete
    2. kwani na wwe ni mtanzania?kwani ccm ni ya watanzania wwe umo kwenye chama na kama upo usingekuwa unatoa comment kwnye hii blog kwani watanzania kama unavyosema hivi sasa wana madaraka na wanaongoza nchi wwe poyoyo unataka kujipendekeza hela ya kula huna.

      Delete
    3. kwani na wwe ni mtanzania?kwani ccm ni ya watanzania wwe umo kwenye chama na kama upo usingekuwa unatoa comment kwnye hii blog kwani watanzania kama unavyosema hivi sasa wana madaraka na wanaongoza nchi wwe poyoyo unataka kujipendekeza hela ya kula huna.

      Delete
    4. kwani na wwe ni mtanzania?kwani ccm ni ya watanzania wwe umo kwenye chama na kama upo usingekuwa unatoa comment kwnye hii blog kwani watanzania kama unavyosema hivi sasa wana madaraka na wanaongoza nchi wwe poyoyo unataka kujipendekeza hela ya kula huna.

      Delete
  4. Ndio maana wapo nyuma maisha milele��

    ReplyDelete
  5. Hapa Mchaga ni nani sasa, nafikiri swala sio la uchaga wala Rais wa awamu ya nne bali akili za mtu na kikundi chake cha kuona CCM ndio zaidi. Lakini vyama vipo kwa mujibu wa sheria ya nchi. hakuna chama chenye mamlaka zaidi ya sheria za nchi. Nafikiri wazo la kikundi hicho bado kinawaza mawazo ya chama kimoja ndio maana. Tuwafundishe yamkini wataelimika. Ndalichako kazi kwako, rudisha somo la Uraia ili watu wasome ukiingiza na yale ya azimio la Arusha itasaidia sana

    ReplyDelete
  6. wwe ni mtanzania wa wapi usiokuwa na wadhifa wowote wwe unajipendekeza tuu rudi kwenu huko ulipotoka

    ReplyDelete
  7. mtoto wao zito amewashauri waombe radhi na kweli wamwfanya,lkn angekua mwingine sijui wangelopokaje?

    ReplyDelete
  8. wachaga nao ni wabaguzi kama warusi, halafu nakushangaaa wewe zitto kwa kuona hilo hivi sasa wewe ulikuwa wapi wakati unabaguliwa na CHADEMA kwa sababu wewe sio mchaga , acha ufala wako banaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad