Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kimewataka vijana waliopo wilayani humo kuacha kujihusisha na masuala ya ushoga.
Akizungumza na waandishi wa habari jana,Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi,Jimson Mhagama alisema hatua ya vijana kuingia katika ushoga ni sawa na kulidhalilisha taifa.
Kauli ya Mhagama imekuja mara baada ya kuwepo kwa taarifa za vijana na wanafunzi 1500 wa elimu ya juu waliopo mkoani humo kujihusisha na vitendo vya ushoga, hali ambayo imeleta taswira mbaya.
Alisema ni vyema vijana hao wakaacha tabia hiyo na badala yake watafute pesa kwa njia halali na si kujiingiza kwenye maswala ambayo yanavunja heshima ya jamii na taifa kwa ujumla.
"Wanafunzi wa Elimu ya juu wanaojihusisha na ushoga wanadhalilisha vyuo vyao na familia zao, lakini CCM inapendekeza kuwa mwanafunzi atakayebainika kufanya mchezo huo afukuzwe chuo mara moja" Alisema Mhagama
Alisema umefika wakati kwa Bunge kutunga sheria kali na kuifanyia mabadiliko katiba ya mwaka 1977 kuweka kipengele kinachobana mambo ya ushoga.
Aliongeza,mtu akibainika ni shoga apewe adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela
Wapo wengi mbona
ReplyDeleteUshoga si ugonjwa jamani
sio ugonjwa lakini ni kumkosoa aliekuumba.yaani aliekuumba amefanya makosa kukuumba mwanaume?jibu .sio kuwapa ushabiki.maradhi ya dunia yatawapata na kesho kwa mungu Adhabu.
DeleteAcha hadithi za kipumbavu wewe ukikwenda akhera ukarudi wewe maisha hapa hapa duniani
DeleteUshoga ulianza sodoma Na gomora
Hata wanyama wanao mashoga msibawabaguwe mashoga wengi wana roho nzuri sana
ENDELEA KUFIRWA MPAKA UPATE AIDS .UCHI NI WAKO.
DeleteUshoga Na usagaji Upo ndani ya ccm
ReplyDeleteTena tunawajuwa kwa majina tangu kamati kuu , viongozi wengi wengi wengi
Mnatatutumbue majipu
Msago Na mashoga waacheni ni binadamu kama wengine
Sio SAWA KABISA.Binadamu wengine hawamkosoi aliewaumba.Ikiwa alikuumba MKE kuwa mke tu.Akikuumba MUME kuwa mume tu.Lakini basi Watu hao Ikiwa hawamuogopi Muumba wao Wnajiaminije.
DeleteMASHOGA NA WASAGAJI WAPO DUNIANI KOTE KWA HIYO HAMNA CHAKUWAFANYA KAENI KIMYA ILIMRADI HAWAWAIBIII PESA ZENU NA HAMUWASAIDII MAISHA NIWASOMI NAWAKAZ NA MAISHA YAO NI MAZURI.SERIKAR IFUATILIE MATATIZO MAKUBWA WEZI MAJAMBAZI WAUAJI NA WABAKAJI SIO KUINGILIA MAPPENZ MAPENZ NI IDARA YA NDAN YA KILA MTU KUAMUAA
ReplyDelete