CCM Yalaani Vijana 1500 Kujitangaza Mashoga Mkoani Iringa

Chama  Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kimewataka vijana waliopo wilayani  humo kuacha  kujihusisha na masuala ya ushoga.

Akizungumza na waandishi wa habari jana,Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi,Jimson Mhagama alisema hatua ya vijana kuingia katika ushoga ni sawa na kulidhalilisha taifa.

Kauli ya Mhagama imekuja mara baada ya kuwepo kwa taarifa za vijana  na wanafunzi 1500  wa  elimu ya juu waliopo mkoani humo kujihusisha na vitendo vya ushoga, hali ambayo imeleta taswira mbaya.

Alisema ni vyema vijana hao wakaacha tabia hiyo na badala yake watafute pesa kwa njia halali na si kujiingiza kwenye maswala ambayo yanavunja heshima ya jamii na taifa kwa ujumla.

"Wanafunzi wa Elimu  ya  juu wanaojihusisha  na  ushoga  wanadhalilisha vyuo  vyao  na  familia zao, lakini CCM inapendekeza kuwa mwanafunzi atakayebainika kufanya mchezo huo afukuzwe chuo mara moja" Alisema Mhagama

Alisema umefika wakati kwa Bunge kutunga sheria kali na kuifanyia mabadiliko katiba ya mwaka 1977  kuweka kipengele kinachobana  mambo  ya  ushoga.

Aliongeza,mtu akibainika ni shoga apewe adhabu kali ya kifungo cha miaka 30 jela
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapo wengi mbona
    Ushoga si ugonjwa jamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio ugonjwa lakini ni kumkosoa aliekuumba.yaani aliekuumba amefanya makosa kukuumba mwanaume?jibu .sio kuwapa ushabiki.maradhi ya dunia yatawapata na kesho kwa mungu Adhabu.

      Delete
    2. Acha hadithi za kipumbavu wewe ukikwenda akhera ukarudi wewe maisha hapa hapa duniani
      Ushoga ulianza sodoma Na gomora
      Hata wanyama wanao mashoga msibawabaguwe mashoga wengi wana roho nzuri sana

      Delete
    3. ENDELEA KUFIRWA MPAKA UPATE AIDS .UCHI NI WAKO.

      Delete
  2. Ushoga Na usagaji Upo ndani ya ccm
    Tena tunawajuwa kwa majina tangu kamati kuu , viongozi wengi wengi wengi
    Mnatatutumbue majipu

    Msago Na mashoga waacheni ni binadamu kama wengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio SAWA KABISA.Binadamu wengine hawamkosoi aliewaumba.Ikiwa alikuumba MKE kuwa mke tu.Akikuumba MUME kuwa mume tu.Lakini basi Watu hao Ikiwa hawamuogopi Muumba wao Wnajiaminije.

      Delete
  3. MASHOGA NA WASAGAJI WAPO DUNIANI KOTE KWA HIYO HAMNA CHAKUWAFANYA KAENI KIMYA ILIMRADI HAWAWAIBIII PESA ZENU NA HAMUWASAIDII MAISHA NIWASOMI NAWAKAZ NA MAISHA YAO NI MAZURI.SERIKAR IFUATILIE MATATIZO MAKUBWA WEZI MAJAMBAZI WAUAJI NA WABAKAJI SIO KUINGILIA MAPPENZ MAPENZ NI IDARA YA NDAN YA KILA MTU KUAMUAA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad