Desperate Single Women, Acheni Complication

Desperate Single Women
Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.
Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume umepita kundi hili ndio wateja wazuri wa waganga wa kienyeji kwaajiri ya kusafisha nyota na kununua MGAGANE, ili aweze kuwanasa wanaume.

Tatizo lililopo ni baadhi yao wako very complecated, anaweka sifa na vigezo utafikiri ametoka kufanya NECTA Mwaka jana. Wadada, ukiwa kwenye fainali usisumbue bidders (watarajiwa) kuwa mnyenyekevu shukuru kwa yeyote anayekujia mradi anaakili timamu na anaweza kujitegemea na imani zenu ziwe sawa achana na kutafuta HB mda umeshakuacha!

Karibu tujumuike

Onyo, nothing personal here so don't come crushing to attack an innocent messenger like me.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. weka mada za akili basi hapa unafundisha au unaelezea utafiti wako? au kuna mtu kauuliza?

    ReplyDelete
  2. Hakuna cha desperate woman wala nini we sema kuna mahali umegongea ukanyimwa ndo ukaamua kuja na hoja yako ya ki toto....That is very personal...
    Kuna mada za maana kibao tuu unazoweza kutuwekea hapa......

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad