Diamond Ameandika Haya katika hiyo picha akiwa kwenye Swimming Pool Nyumbani Kwake..
How my Evening is going like.... #StateHouse raha ya Ustar uwe na yako Nyumba, sio Shombo Kuvunda!
Baada ya Muda Picha Hiyo na Meneno hayo kuwekwa Team Wema Wamevamia page hiyo na kuanza kuandika maneno ya Shombo mengine ni ngumu kuyaweka Hapa
Baada ya Comment kutoka katika post hiyo hizi Hapa;
Hilwa05
Sasa ww @diamondplatnumz mwenyewe ushaimba kama hujui maisha yako ya kesho kwanini uandike hayo unaweza kushuka ww na wema akapanda acha dharau hizo
mbitegeko
@yamotoband mna nyumba, @harmonize je ana nyumba ,shettazz una nyumba , shombo nyingine
Ayanig
Fuck the shut...... Wewe siulikuwa unaishi kwa Wema, unakula kwake Loooo mwanaume kama binti kichwa majii wewe ...na huyo Zari umkomee Wema
Edithmadenge
Your so full of hate,I pray that it consumes you@diamondplatnumz
Aluminium_bussiness
unajua kumwambia dai akapime dna ni kama kumvua chupi umwambie atembee barabarani! acheni jamani mtaleta maradhi kwa huyu kaka! tupende masuper star wetu
Wee Dai kuwa makini Na huyo m.mke she is clever than you be careful
ReplyDeletehuyu Dai leo wa kusema mastaa hawana nyumba? kasahau alivyokuwa anaokota makopo na kuuza huku akilala studio.
ReplyDeletekala kalala na katia kwa Wema, leo kasahau kwa kukumbushwa akapime DNA.
ReplyDeleteHATA KOBE ANANYUMBA SEMBUSE WEMA. MBONA HATULII NA KIZEE CHAKE KILA CKU ANABADILISHA KAMA NGUO.
ReplyDeletenyumba yenyewe kashaanza kuipiga rangi kwa mkono wake hata kuwaita mafundi hawezi, limemganda.
ReplyDeletemwanaume jina, tabia kama bint wa kwamtogole lol
ReplyDeleteanahaha huyoo. anataka kupotezea dna. hana jinsi
ReplyDeletehata useme vipi huwezi kusahau hisani aliokufanyia Wema.unatahayari tuu unajua fika tifaa ni majanga kwako.
ReplyDeleteHASIRA ZA KUSIKIA WEMA ANAMIMBA. KAAMUA KUBADILISHA MADA KALETA YA NYUMBA.
ReplyDeleteTajiri anunue nyumba Miami , Monaco
ReplyDeleteTandale kwenyewe anakarabati sasa
Mali zina mwisho
Kama Tajiri Kweli saidia basi masikini tuone
Kila kukicha kutuonyesha alichonacho sisi inatuhusu Nini
MBONA NINYI TEAM WEMA KUNUKA MBONA HIVYO ? KWANI DAI KAKOSEA NINI? KUSEMA U STAR BILA NYUMBA LIMEKUWA KEJELI? KAMA MNAWEZA KAJENGENI NA NINYI ZENU SWAIN WAKUBWA MUACHENI MTOTO WA KIGOMAA JILIE WESE LAKE NA DAGAA FRESH,SHENZI TAIP
ReplyDeleteMBONA NINYI TEAM WEMA KUNUKA MBONA HIVYO ? KWANI DAI KAKOSEA NINI? KUSEMA U STAR BILA NYUMBA LIMEKUWA KEJELI? KAMA MNAWEZA KAJENGENI NA NINYI ZENU SWAIN WAKUBWA MUACHENI MTOTO WA KIGOMAA JILIE WESE LAKE NA DAGAA FRESH,SHENZI TAIP, NA WEWE DAI ACHANA NA HAO WASENGE WASENGE WAMEKAA VIJICHO TU, TIFFAH NI WAKO HATA KAMA SI WAKO BIOLOGICALLY WEWE NDUO BABA TU HAKUNA MWINGINE NA JINA HILO HALITOMTOKA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAKE , ONGEZENI MWINGINE NDIO WATAENDA KWAO LULALA USINGIZI ILI NA WEWE UPUMUE
ReplyDeleteMungu akikujaalia ni kumshukuru,hilo la DNA wngne wnchngia hoja tu hâta hawajui maana yake,nani ana uhkika na hawa tuwaitao baba Kama ni kweli wazazi wetu halali, wivu Wa maendeleo na wachangiaji wengi humu ni Wa hali duni, au wasiosoma,wnzetu mitandao ya kijamii wanautumia kuxoma mambo ya mcingi.
ReplyDeletelolote unaloongea halileti maana dai jaribu kuongea vitu vya maana siwezi tupia maneno ya kejeli kama hayo mbona mimi nina nyumba sijakejeli hambao hawana kwa hiyo kama umepata we shukuru Mungu sio kwamba ambao hawana ndo hawana akili, jufunze kuongea vizuri sio limbukeni wa maneno na vitu ulivyopata
ReplyDeleteNa huyo bi kuewekeza kuwa nae makini wapi kina Tyson pesa kumwaga wapi sasa kesi kila Leo km Una uwezo saidia yatima acha kiburi
ReplyDeleteukweli siku zote unauma watanzania tu masikini wa kuelewa na kujifunza tunakalia umbeya tu. nawe wema kataza team zako zisiwatukane watu maana ndo ugomvi unapoanzia
ReplyDeleteWema wala hayajui hayo wakina Fulani wakishashiba ugaki ugali kauzu wanaanza fujo magazetini
ReplyDeleteAcha dharau. Ya Mungu mengi hujui ya kesho.
ReplyDeleteASANTE DADA DAI
ReplyDelete