Hata hivyo amesema nafasi hiyo huitumia kuwabeba wasanii wengi wa Bongo Flava kwa kadri awezavyo.
Alisema anawashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
“Mimi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndio huwa nasababisha,”alisema.
“Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yeyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? Tuicheze ngoma yake au? Mimi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?”
Pia Diamond alisema timu yake ya Wasafi ndiyo ilivishauri vituo vya runinga vya Sound City na MTV kuanzisha chati za Afrika Mashariki.
Source:Times FM website
Udaku Special Blog
kikowapi? si nilisema Dai anaroho mbaya sasa hivo vituo mpaka vimuulize yeye kama nani? kwasababu kaweka pesa zake.
ReplyDeleteKIBA ALISEMA UKWELI, DAI ANATAKA KUWA JUU TUU NDO MAANA ANAHONGA.
ReplyDeleteMungu hamfichi mnafiki hivo vituo mpaka vikuulize wewe kama nani iko cku utafedheheka.
ReplyDeletekumbe vikombe vyoote ni kuhonga? na umeweka wazi kabisa nilishangaa kuona eyola kawa no 3. sasa ulitaka Kiba akulambe miguu.
ReplyDeleteNawe pamoja na vizee vyako vyote kahongeni ili mpate vikombe sijuhi vya chai!
DeleteMTV wakuulize wewe kama nani? leo umedhihirisha kama unahonga na kuwakandia wenzio wasipigiwe nyimbo zao.
ReplyDeleteDu! kumbe kweli ulim bania Kiba nyimbo zake? malipo ni hapa duniani.
ReplyDeleteUNAROHO YA KIMASKINI DAY, NDO MAANA UMEBAMBIKIWA TIFAA NA DNA YA UONGO.
ReplyDeleteHasidi hana sababu, utakuja umbuka na hao mameneja wako cku 1.
ReplyDeleteKiba alisema ukweli unafanya juu chini nyimbo zake zisipigwe MTV mwanaaramu abadiliki never.
ReplyDeleteunapenda kila mwaka upewe vikombe kwa kuhonga na kuwabania wenzio. huna haya leo umesema mwenyewe! domo kama choo cha Tandale.
ReplyDeleteYeye ni nani mpaka mtv wa muulize kabla ya kupiga au kuonyesha video za wasanii wa TZ now I know why alikuwa anajitengenezea mazingira kwa mtindo huu utalipenda simu moja because we know why wasanii wanapeleka video hazipigwi kumbe wanakuuliza wewe mbaya sana wewe kaka
ReplyDeleteYaani bora ungenyamaza ndo umeharibu kabisa ok walikuwa wanakuuliza wewe kama nani ukweli unaanza kutoka kidogo kidogo ulikuwa unawabania kumbe shame on you
ReplyDeleteHamkosagi ya kuongea.......kuhonga kahonga shangazi zetu. Best perfoma anaweza kua nominated kama judge au advisor wa kufanya maamuzi kosa lake nini hapo. Huyo mbana pua wenu kiba hajui industry ya mziki na marketing process yake anakomaa na umaarufu wa kibongo tu na mademu wa bongo movie.....atafia hapahapa wala hawezi kwenda kokote. Mtampiga sana vijembe Mond lkn ndo mnamuongezea thawabu tu kwenye kazi yake
ReplyDeleteAliepata kapata,nanyi piganeni kiume mtafanikiwa,Mara nyingi masikini hatuishi majungu,matusi,uropokaji pasipo na kufuatilia habari kwa Kina,hizo team nani ndizo zinazowaumiza vichwa.
ReplyDeletedomo kawanyosha mpk mtv kweli wewe domo kumanyoko in lemi voice
ReplyDeleteUkweli huwa haujifichi utajulikana tu hata kama kwa kuchelewa
ReplyDeletefreemasons iluminati inafanya kazi yake sio yye anasema tuu.
ReplyDeletefreemasons iluminati inafanya kazi yake sio yye anasema tuu.
ReplyDeleteMMMMMM
ReplyDeleteCheck this out bro what you're doing in the dark one day will surely comes out into the lights
ReplyDeleteAcheni roho za kutu nyie, mbona hamzungumzii kauli aliyosema kuwa karibu kollabo zoote za wasanii wa nigeria huwa anafanya connection yeye??? mmekomalia tu kuwa jamaa huwa lazima wamuulize yeye. Mnafikiri MTV wanaweza kuja huku na kupata information kwa mtu ambaye hatambuliki kimataifa?? ACHENI ROHO ZA WIVU NYIE, MUACHENI DANGOTE NA MAFANIKIO YAKE NA TUNAMPONGEZA SAAAAANA KWA KUITANGAZA VYEMA TZ PAMOJA NA EA.
ReplyDeleteHahahaha..tunamjua mpaka kenya kwa huo hubinafsi wake na maringo tele utafikiri yuwanya "keki"..na kumbe yuwanya mavi ya kunuka kama tu sisi
ReplyDeleteHahahaha..2namjua mpaka uku kenya kwa huo ubnafsi wake na majivuno tele..utafkiri yuwanya "keki"..na kumbe yuwanya mavi ya kunuka kama 2 sisi
ReplyDelete