DIAMOND Platnumz Ashutumiwa Kuwabania Wenzake Connection za nje...Mwenyewe Adai Anatumiwa na MTV Base Kupitisha Video za Kuchezwa Kwenye TV Hiyo

Kama Diamond akisema ‘Hapana’ huenda video ya msanii wa Bongo isipate mwanga wa siku kwenye playlist za kituo cha runinga cha MTV Base.

Hata hivyo amesema nafasi hiyo huitumia kuwabeba wasanii wengi wa Bongo Flava kwa kadri awezavyo.

Alisema anawashangaa wasanii wanaomtupia maneno kila kukicha kuwa anawabania wasanii wengine ‘connections’ za kung’ara kimataifa.
“Mimi nashangaa sana kusikia hayo maneno, wanasema hivyo wakati mi najitahidi kuwasaidia wenzangu tutoboe wote, kila kolabo ya msanii wa nyumbani na msanii wa Nigeria inayofanywa mi ndio huwa nasababisha,”alisema.

Nikiamua kubana mbona naweza tu, kwa sababu vituo vingi vya nje vinanisikiliza kwa mfano tu MTV wenyewe wakipokea video ya msanii yeyote kutoka hapa (Tanzania) wananipigia wananiuliza kwanza huyu vipi? Tuicheze ngoma yake au? Mimi huwa nasema tu anafanya vizuri huku, basi inapita wanaicheza nikiamua kubana si naweza tu?”

Pia Diamond alisema timu yake ya Wasafi ndiyo ilivishauri vituo vya runinga vya Sound City na MTV kuanzisha chati za Afrika Mashariki.

Source:Times FM website

 Udaku Special Blog

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kikowapi? si nilisema Dai anaroho mbaya sasa hivo vituo mpaka vimuulize yeye kama nani? kwasababu kaweka pesa zake.

    ReplyDelete
  2. KIBA ALISEMA UKWELI, DAI ANATAKA KUWA JUU TUU NDO MAANA ANAHONGA.

    ReplyDelete
  3. Mungu hamfichi mnafiki hivo vituo mpaka vikuulize wewe kama nani iko cku utafedheheka.

    ReplyDelete
  4. kumbe vikombe vyoote ni kuhonga? na umeweka wazi kabisa nilishangaa kuona eyola kawa no 3. sasa ulitaka Kiba akulambe miguu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nawe pamoja na vizee vyako vyote kahongeni ili mpate vikombe sijuhi vya chai!

      Delete
  5. MTV wakuulize wewe kama nani? leo umedhihirisha kama unahonga na kuwakandia wenzio wasipigiwe nyimbo zao.

    ReplyDelete
  6. Du! kumbe kweli ulim bania Kiba nyimbo zake? malipo ni hapa duniani.

    ReplyDelete
  7. UNAROHO YA KIMASKINI DAY, NDO MAANA UMEBAMBIKIWA TIFAA NA DNA YA UONGO.

    ReplyDelete
  8. Hasidi hana sababu, utakuja umbuka na hao mameneja wako cku 1.

    ReplyDelete
  9. Kiba alisema ukweli unafanya juu chini nyimbo zake zisipigwe MTV mwanaaramu abadiliki never.

    ReplyDelete
  10. unapenda kila mwaka upewe vikombe kwa kuhonga na kuwabania wenzio. huna haya leo umesema mwenyewe! domo kama choo cha Tandale.

    ReplyDelete
  11. Yeye ni nani mpaka mtv wa muulize kabla ya kupiga au kuonyesha video za wasanii wa TZ now I know why alikuwa anajitengenezea mazingira kwa mtindo huu utalipenda simu moja because we know why wasanii wanapeleka video hazipigwi kumbe wanakuuliza wewe mbaya sana wewe kaka

    ReplyDelete
  12. Yaani bora ungenyamaza ndo umeharibu kabisa ok walikuwa wanakuuliza wewe kama nani ukweli unaanza kutoka kidogo kidogo ulikuwa unawabania kumbe shame on you

    ReplyDelete
  13. Hamkosagi ya kuongea.......kuhonga kahonga shangazi zetu. Best perfoma anaweza kua nominated kama judge au advisor wa kufanya maamuzi kosa lake nini hapo. Huyo mbana pua wenu kiba hajui industry ya mziki na marketing process yake anakomaa na umaarufu wa kibongo tu na mademu wa bongo movie.....atafia hapahapa wala hawezi kwenda kokote. Mtampiga sana vijembe Mond lkn ndo mnamuongezea thawabu tu kwenye kazi yake

    ReplyDelete
  14. Aliepata kapata,nanyi piganeni kiume mtafanikiwa,Mara nyingi masikini hatuishi majungu,matusi,uropokaji pasipo na kufuatilia habari kwa Kina,hizo team nani ndizo zinazowaumiza vichwa.

    ReplyDelete
  15. domo kawanyosha mpk mtv kweli wewe domo kumanyoko in lemi voice

    ReplyDelete
  16. Ukweli huwa haujifichi utajulikana tu hata kama kwa kuchelewa

    ReplyDelete
  17. freemasons iluminati inafanya kazi yake sio yye anasema tuu.

    ReplyDelete
  18. freemasons iluminati inafanya kazi yake sio yye anasema tuu.

    ReplyDelete
  19. Check this out bro what you're doing in the dark one day will surely comes out into the lights

    ReplyDelete
  20. Acheni roho za kutu nyie, mbona hamzungumzii kauli aliyosema kuwa karibu kollabo zoote za wasanii wa nigeria huwa anafanya connection yeye??? mmekomalia tu kuwa jamaa huwa lazima wamuulize yeye. Mnafikiri MTV wanaweza kuja huku na kupata information kwa mtu ambaye hatambuliki kimataifa?? ACHENI ROHO ZA WIVU NYIE, MUACHENI DANGOTE NA MAFANIKIO YAKE NA TUNAMPONGEZA SAAAAANA KWA KUITANGAZA VYEMA TZ PAMOJA NA EA.

    ReplyDelete
  21. Hahahaha..tunamjua mpaka kenya kwa huo hubinafsi wake na maringo tele utafikiri yuwanya "keki"..na kumbe yuwanya mavi ya kunuka kama tu sisi

    ReplyDelete
  22. Hahahaha..2namjua mpaka uku kenya kwa huo ubnafsi wake na majivuno tele..utafkiri yuwanya "keki"..na kumbe yuwanya mavi ya kunuka kama 2 sisi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad