Diamond Platnumz Azidi Kulipalilia Bifu la Wema na Zari, Adai Zari Japo Ana Watoto Watatu Mwili wake Unadhamani zaidi wa Ambae Hana Mtoto Hata Mmoja

Zari Hassan
Wema Sepetu
Akihojiwa na Millard ayo Diamond Amesema kuwa Ukiangalia Japo Zari ana Watoto Watatu Kwa sasa lakini Mwili wake Bado una thamani kubwa zaidi ya ambao hawana hata mtoto mmoja...

Kwa kinachoendelea sasa kati ya Wema Sepetu na Zari Hassan hili ndogo moja kwa moja linamwendea Wema Sepetu ambae alishakuwa na Mahusiano naye na hana mtoto mpaka sasa..

Angalia Video Hapa Diamond Akiongelea hilo;


Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haha diamond umepanic neno moja tu la wema maneno kibao

    ReplyDelete
  2. WATOTO WANNE NA SI WATATU MSITUCHANGANYE

    ReplyDelete
  3. jamani acheni uchonganishi hii video si itakuwa ya zamani kabla zari hajamzaa tiffa ndo alikuwa na watoto watatu mbona sasa hvi ana wanne? msipende kuunganisha mambo jamani!!!

    ReplyDelete
  4. ndo zake hizo Domo akiwa na demu mpya anamponda sana wa zamani. hana jipya ni mfamaji haishi kutapata.

    ReplyDelete
  5. HATA ALIVYOKUWA NA WEMA ALIMPONDA PENNY.MTANZALE HAACHI ASILI YAKE.

    ReplyDelete
  6. huyo bi kizee ana nini zaidi ya 360. picha za kuedit na mali za Ivan ndo anampaisha Dai hana haya zaidi ya ujinga. akapime DNA kwanza

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAWE KAPIME DNA UTUAMBIE HUYO UNAYESEMA "BABA YANGU" NI KWELI BABA YAKO

      Delete
  7. K. ya zari tulishaiona haina mvuto ni msitu wa kongo na kujishindilia toy tuu. amdanganye huyo Ay.

    ReplyDelete
  8. eti nini mwili wa nani unathamani kubwa hahaaaaaaaaaaa,awaulize walompitia kwanza. spessially Katunzi. huwa anasema Zari kapooza akiwa kitandani na uchi wake wabaridi sana.

    ReplyDelete
  9. MWILI WAKE UMEKAA KAMA MATOFALI YA NYUMBA YA MADALE HANA JIPYA ASITUDANGANYE KWA ASIRA YA WEMA KUPATA MIMBA. YEYE KASHINDWA KAPEWA TIFAA KWA SHARTI LA BABA WA KAMBO.

    ReplyDelete
  10. sasa huyo tasa ana nn........azidi kuzeesha mwili tu kwa kulea mijanaume....,...wenzake wanazeesha mwili kwa kulea watoto zao. Diamond songa mbele achana na vidampa hao

    ReplyDelete
  11. Ugomvi wa wanawake diamond kajiingizaje? Yupo kama shoga tu, ni lini wema alisema tiffa mbaya? Unakasirika nini sasa kama kweli tiffah ni mwanao? Mbona zari kamwambia wema akapime dna na swiss yaani mbwa wake umepiga kimya, diamond mmbeya sana inaonekana wewe ndo unamtuma huyo mamako mdogo zari amtukane wema mkijibiwa mwaumia.

    Kapime dna huko, mmemkalia wema kooni kama mwiba wa samaki!! Kama wewe kidume na wema ni tasa/mgumba mbona hatujaona umempa mimba Jackline Wolper, Jokate, Penny nk??

    Mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu eeeh?

    Nyumba nyumba nyumba watu wote wakijenga nani atapanga?? Umekariri eeeh? Wewe nyumba is umejenga karibuni tu, ringa nayo iko siku utakuta unaemdharua akawa na bonge la mjengo na yako ukaiona kama kibanda cha chips tu.

    Mungu si Athuman umeona majibu ya kashifa zenu yameanza kutokea? Na bado mbona mtalijua jiji mwaka huu

    ReplyDelete
  12. Dai alikuwa anaokota makopo anauza. leo kajenga anawatukana wasio kuwa na nyumba kasahau alikotoka. iko cku mumgu atakufedhehesha kama alivyokuabisha kwa Wema kuwa na mimba. wakati ulikuwa unamwita mgumba.

    ReplyDelete
  13. hasira za nn, wakati Wema unamwita mgumba huku unacheka sasa anamimba umebadilisha unamwita hana nyumba. so analala nje? Au kwamtogole

    ReplyDelete
  14. ULIVYOKUWA UNALALA KWA WEMA HUKUJUA KAMA HANA NYUMBA TENA NAFAMILY YAKO YOOTE, SASA NDO UNAJIONA KIDUME KWA KUJENGA MADALE. POLE MWANAUME KAMA SHOGA HAIENDEZI. KAMPIME TIFAA DNA.

    ReplyDelete
  15. Nyumba hata kobe anayo, usitubabaishe tudi shule umemiss vitu vingi sana hata kuongea hujui.

    ReplyDelete
  16. Nyumba my ass! ulishamuona Wema kalala barabarani kweli unahasira za mimba si bure.

    ReplyDelete
  17. mfamaji haishi xxxx. kwanza ilikuwa mgumba. sasa nyumba hahahaaaa. unalo hilo limekuganda kama ruba Domo

    ReplyDelete
  18. Domo wew nimwanaume na unategemea fun wako kupata hela.nakushauri achana na wema.muache zari na wema wanawake kazi Yao umbea

    ReplyDelete
  19. Enter your comment... tatzo la uzazi lmekuwa kikwazo kikubwa ktk jamii ila doctor mwaka,,,,,,, wema amesaidiwa na foreplan clinick huyo amshukuru docto mwaka axingepata mimba na xjui km itakuwa hyo..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad