Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.
Akizungumza katika kipindi cha Papaso cha TBC FM, Diamond alisema kama akiingia kwenye siasa basi nia yake ni kuwa Waziri wa Michezo.
“Kwa sasa hivi siasa bado ila nikiingia kwenye siasa baadaye akimaliza mheshimiwa Nape nachukua mimi kile cheo cha Waziri wa Michezo,” alisema na kuongeza;
“Kile nakiweza kabisa kwa sababu mimi ukinimbia sijui kuhusu mpira, movie mimi naweza kabisa nikiwa Waziri, nikavifanya na vikawa na maendeleo.
"Ni kitu ambacho naweza siyo nasema nataka kuwa mbunge ila mimi nataka ile siku nimeacha kufanya muziki naingia kwenye siasa basi nakuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na kuboresha vitu”
Diamond ambaye hakuweka wazi kwamba ataingia kwenye siasa kupitia chama gani, mwaka jana katika kampeni za uchaguzi mkuu uliomuingiza rais Magufuli madarakani, alishiriki kikamilifu kwenye kampeni za CCM na kutengeneza wimbo pamoja na video.
Haaah nicheke mie
ReplyDeleteAnaweza kupata ubunge lkn siyo uwaziri. Anajishaua kweli huyu kaka. Kwa CV gani mpaka awe waziri!!! Nyooo!!
ReplyDeleteThank you, Kwa education gani oliyo mayo? he needs to get over it, yeye alifikiria unaokwatwa tu, you need to have degree, rudi shule ndio utautapa.
Deleteataingia kwenye siasa kupitia ukawa
ReplyDeleteDomo kwa shule gani na busara gani
ReplyDeleteUlizonazo
Labda Ridhiwani akiwa rais
Au Zari wako
Hata udiwani hupatiiiiiiiiiii
Pima dna
Kigoma mna matatizo gani nyinyi
Si wewe, si zitto, si kiba mnnanuka kwa scandaly tanzania
Oops wema atakuwa rais wa USA
ReplyDeleteZari rais wa uk
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteMakahaba mama watu wazima wanakushinda akili,utamuongoza nani?wewe utaweza tu kumlea mtoto katunzi huo ndio uwezo wako na cyo kuongoza watu wenye akili zao timamu.
ReplyDeletemsimbeze huenda kaahidiwa...kama ni shule atasoma tu
ReplyDeletearudi shule kwanza.ajue jinsi ya kuongea na aache mambo ya kike.
ReplyDeleteNafikiri anaweza kuwa milionea lkn sio waziri hasa awamu ya magufuli mpaka uwe professor siyo mlea vizee km ww
ReplyDeleteAupate wapi umillionea
DeleteAna vijisenti tu
Angekuwanazo angenunua majumba SA, USA na uk
Kila akija USA na uk kujibanza kwa watu fyuuuuu
Shida sio kuwa waziri ..shida ni shule...go back to school first
ReplyDeleteAtakuwa waziri Zari kumtunzia watoto
ReplyDeleteMsameheni alitania tuu harudii tena
ReplyDelete