Dr.John Pombe Magufuli Amekutana na Benjamini William Mkapa Pamoja na Joseph Sinde Warioba

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa.

Pia amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba ambaye amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake ili kuwa na Tanzania yenye mabadliko

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fuso mwanangu kiti chote kajaaaAAAAAAa
    Oops

    ReplyDelete
  2. Wengine wezi wanataka kumpuguza speed magu,usiwakilize baba.

    ReplyDelete
  3. lazima wakutane ndio walioingia na jina lake mfukoni kipindi cha uteuzi wao... na lazima atii yale anayoagizwa na pimbi. hapa kazi tu ni ile ile ile ileeeee, karibuni wakuisoma namba.

    ReplyDelete
  4. Yap!katika kutafuta ufanisi zaidi ni lazima kuchukua mazuri ya wahenga.Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad