Edward Lowassa Atangaza kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

Akiongea na wafanyabiashara wa kariakoo waliomtembelea ofisini kwake mikocheni, Lowassa amesema safari ndio kwanza imeanza na yupo fiti kwa mapambano.
Amewataka wanamabadiliko kutokukata tamaa 

Amesisitiza kama alivyoshinda uchaguzi huu ndivyo atakavyoshinda mwaka 2020.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama alivyovurunda mwaka 2015 ndio atakavyovurunda 2020!

    ReplyDelete
  2. Na wagonjwa si wanakufa kila Leo tena wapo CCM
    Mungu mbariki Lowassa

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga wewe una comment pumba
      cheki jamaa yenu anavyoharibu anaenda unga alliance na wafanyabiashara ili iweje? huyo lowasa wenu ni mtu wa dili hamtaki. kusoma hujui tazama picha basi au shule ndogo?
      elimu bure nenda ukajiongeze
      lowasa haezi kuwa rais na Mungu anajua hilo apo anakusanya michango kwa wafanya biashara coz kashaanza kufilisika
      hatumpi nchi mpiga dili huyo

      Delete
    2. Msenge wewe rais atakuwa basha yako
      Urais hakuna alama wala sura ingekuwa tume huru ya uchaguzi
      Angekuwa
      CCM mijizi ya kura yamewashinda zanzibar
      Na bado tunataka tume huru uchaguzi kama mtashinda tena

      Delete
    3. Wewe una shule gani Kama si msenge Na mpiga debe wa mabasha WA CCM
      Uchaguzi umekwisha Magufuli kafunga kila kona sasa mmebakia mitaandaoni kujibu ya CCM
      CCM ina wenyewe mtakaliya hayo hayo

      Delete
    4. povu sio na bado mtalia sana ukawa
      na znz ccm inashinda hata kwa goli la mkono
      kuku nyie ukawa

      Delete
  3. TULISHASHTUKA BABA.

    ReplyDelete
  4. Tunataka Tanzania mpya ya Magufuri baba. Hapa kazi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad