ESTER Bulaya Amgaragaza Tena Wasira...Ashinda Kesi ya Uchaguzi iliyofunguliwa Kupinga Ushindi Wake

Ester Bulaya Ameandika Maneno haya Baada ya Ushindi wa Mahakamani;

"Nilimshinda Wasira kwa wananchi, na leo nimemshinda kisheria, Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya Uchaguzi dhidi yangu, iliyofunguliwa na wapambe wa wasira. Mungu husimama na watu waliowema. Nakutumaini mungu wangu na wewe ndiye mlinzi wangu.Asante sana Wananchi wangu wa Bunda Mjini mliokwenda Mwanza kusikiliza Hukumu. Mbunge wenu nipo dodoma tayari kwa kuanza vikao vya Bunge Kesho." Ester Bulaya

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Bulaya kutuondelea mkoromo bungeni
    Nyumba karudisha hili zeeeee

    ReplyDelete
  2. wazee km hawa hata sisi wana ccm hatuwahitaji tena maana wameshakua mizigo.

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...penda sana wewe bi dada yani bungen wewe ndo jicho langu nakupenda sana kwa busara zako

    ReplyDelete
  4. Her kumbe huyu mzee yupo rafiki zk kina kawawa Na nyerere washakufa sk nyingi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad