Leo Mrembo Faiza Ally Asie ishiwa na vituko amempiga video mtoto wake Shasha akiwa analia huku akiomba atumiwe hela ya kusuka nywele na kuipost instagram.....Kwenye video hiyo mtoto amesikika akisema baba naomba ntumie hela nikasuke huku akibugujikwa na machozi, na baada ya kusema hivyo Faiza amesikika akimuuliza Baba ako anaitwa nani? mtoto akajibu 'Joseph ' Joseph nani? 'Mbilinyi' alafu akaendelea akamwambia mtoto aseme mwambie leo mama hana hela!
Amepost video hiyo na kuandika maneno hayo hapo chini ya picha:
Aibu!Muheshimiwa kama kweli huna mawasiliano na mama wa binti yako kiasi cha kupitia mitandaoni akiwa na shida ya pesa,basi unafanya kitu mbaya sana.Kama wazazi mnadhani huyu mtoto anajifunza nini?Inaumiza jamani,yaani ina maana huongei na mwanao jamani?hasikii sauti yako wala wewe huna hamu ya kumsikia mwanao?Mtoto ana kosa gani hapo sasa?kesho na kesho kutwa mtoto akija kufanya mambo ya ajabu usishangae maana humfatii mwanao,Mbaya sana,tena sana,halafu eti mbunge,Eeeh mwenyezi Mungu utunusuru.
ReplyDeleteMBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteHUYU MAMA NI JINGA KUBWA. MAMBO YA KOPI AND PASTE ZA ULAYA TUNALETEANA UJINGA.
ReplyDeleteHUYU MAMA NI JINGA KUBWA. MAMBO YA KOPI AND PASTE ZA ULAYA TUNALETEANA UJINGA.
ReplyDeleteHaipendezi kumtumia mtoto mdogo kukoleza migongano yenu. Huo Ni udhalilishaji wa mtoto. Ikiwa mtoto hatunzwi ziko taasisi kama ustawi wa jamii, dawati la jinsia na mahakama kule watamsaidia apate matunzo ya mtoto toka kwa mzazi mwenzie na sio kumtundika mitandaoni.
ReplyDeleteHaipendezi kwenu kwa vile hayajawakuta free country mwacheni afanye yake,,,kama kweli mbunge anajali wanae mbona anatelekeza watoto kila kona,,,,AIBU KWA SUGU BABBA WITH NO BRAIN HATA UO UBUNGR WALIOMPA KAZI WANAYO
ReplyDeleteKisa yupo ukawa
ReplyDeleteWapo wangapi ccm waliotekekezwa na baba zao
Fyuuuuuuuuu
Ccm
Haya ni maswala binafsi
Hajali mbunge anatoka wapi
Huyu Malaya alishaambiwa mtoto asiwekwe mtaandaoni
Kwa umalaya anafikiri abamkomoa SUGU
Olaaaaaaaaaa tunajuwa ni baba Mzuri
Tukutane mahakamani
Ya UKAWA na CCM yameingiaje hapa?
DeleteAcha umajitaka bhana.
huyu mama akapimwe akili!!!
ReplyDelete