Faiza Ali Atoa Mpya..Amtumia Mtoto wake Kuomba Hela Kwa Mbunge Sugu Baba wa Mtoto Kipitia Instagram

Leo Mrembo Faiza Ally Asie ishiwa na vituko amempiga video mtoto wake Shasha akiwa analia huku akiomba atumiwe hela ya kusuka nywele na kuipost instagram.....Kwenye video hiyo mtoto amesikika akisema baba naomba ntumie hela nikasuke huku akibugujikwa na machozi, na baada ya kusema hivyo Faiza amesikika akimuuliza Baba ako anaitwa nani?  mtoto akajibu 'Joseph ' Joseph nani? 'Mbilinyi'  alafu akaendelea akamwambia mtoto aseme mwambie leo mama hana hela!

Amepost video hiyo na kuandika maneno hayo hapo chini ya picha:


Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aibu!Muheshimiwa kama kweli huna mawasiliano na mama wa binti yako kiasi cha kupitia mitandaoni akiwa na shida ya pesa,basi unafanya kitu mbaya sana.Kama wazazi mnadhani huyu mtoto anajifunza nini?Inaumiza jamani,yaani ina maana huongei na mwanao jamani?hasikii sauti yako wala wewe huna hamu ya kumsikia mwanao?Mtoto ana kosa gani hapo sasa?kesho na kesho kutwa mtoto akija kufanya mambo ya ajabu usishangae maana humfatii mwanao,Mbaya sana,tena sana,halafu eti mbunge,Eeeh mwenyezi Mungu utunusuru.

    ReplyDelete
  2. MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

    ReplyDelete
  3. HUYU MAMA NI JINGA KUBWA. MAMBO YA KOPI AND PASTE ZA ULAYA TUNALETEANA UJINGA.

    ReplyDelete
  4. HUYU MAMA NI JINGA KUBWA. MAMBO YA KOPI AND PASTE ZA ULAYA TUNALETEANA UJINGA.

    ReplyDelete
  5. Haipendezi kumtumia mtoto mdogo kukoleza migongano yenu. Huo Ni udhalilishaji wa mtoto. Ikiwa mtoto hatunzwi ziko taasisi kama ustawi wa jamii, dawati la jinsia na mahakama kule watamsaidia apate matunzo ya mtoto toka kwa mzazi mwenzie na sio kumtundika mitandaoni.

    ReplyDelete
  6. Haipendezi kwenu kwa vile hayajawakuta free country mwacheni afanye yake,,,kama kweli mbunge anajali wanae mbona anatelekeza watoto kila kona,,,,AIBU KWA SUGU BABBA WITH NO BRAIN HATA UO UBUNGR WALIOMPA KAZI WANAYO

    ReplyDelete
  7. Kisa yupo ukawa
    Wapo wangapi ccm waliotekekezwa na baba zao
    Fyuuuuuuuuu
    Ccm
    Haya ni maswala binafsi
    Hajali mbunge anatoka wapi
    Huyu Malaya alishaambiwa mtoto asiwekwe mtaandaoni
    Kwa umalaya anafikiri abamkomoa SUGU
    Olaaaaaaaaaa tunajuwa ni baba Mzuri
    Tukutane mahakamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ya UKAWA na CCM yameingiaje hapa?
      Acha umajitaka bhana.

      Delete
  8. huyu mama akapimwe akili!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad