Faiza Ally Awapa Makavu Live Wale Wote Wanaosema Amekosea Kuweka Video ya Mtoto Instagram Akimuomba Hela Mbunge Sugu

Baada ya Video ya mtoto wa Joseph Mbilinyi kuwekwa mtandaoni ikionyesha akiomba hela ya kusuka huku akilia , Mama mzazi wa mtoto huyo aliyeweka Video hiyo mtandaoni amewajibu watu walio comment kwa kumwambia amekosea kwani anamzalilisha mtoto na baba yake ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini.....

"NYINYI MNAOSEMA KAMA NIMESHINDWA KUMLEA MTOTO NIMUACHIA BABA YAKE- NAWAONA WAPUMBAVU TU KAMA WAPUMBAVU WENGINE WOTE..... KUTAKA KUISHI NA MWANANGU SIO SABABU YA BABA KUTOKUJUA MTOTO ANA KAA WAPI! ANAKULA NINI- ADA ANAPATA WAPI NA SHULE ANA SOMA IPI... NDIO NINA HAKI YA KUKAA NA MWANANGU LKN SIO KWAMBA KWA SABABU NAISHI NAE NDIO SABABU YA KUTOMKUTUNZA MWANAE.... NA PUMBAVU ZENU WALE WANAO SEMA NA MZALILISHA SASA MNTAKA NIMPEJE UJUMBE IKIWA SINA MAWASILIANO NAE ? KAMA SIO KUTUMIA MITANDAO ..... ? NAO MNAOSEMA NIMESHINDWA MNAJUA NALIPA KODI KIASI GANI? ADA SH NGAPI ? MATUMIZI NA MNAJUA NAPATAJE MANINA ZENU? AU MNAZANI KUWA SINGLE MAMA MCHEZO - PUMBAVU ZENU NYOTE MNAO SHANGAA MIMI KUONYESHA HISIA ZANGU..... KUNA NYAKATI ZINGINE UNASHINDWA KUJIZUIA UKIWA KAMA MZAZI UNAPO KOSA MSAADA WOWOTE KWA MZAZI MWENZIO SPECIAL AKIWA NA UWEZO WA KUTOA.... NA SI KWAMBA NIMESHINDWA ILA NIMEKASIRIKA NA KUSIKITIKA SANA PALE MWANANGU ANAPO HITAJI NA NAKUA SINA KWA WAKATI HUO NA NIKITIZAMA BABA YAKE ANAO UWEZO LKN ANA NIKOMOA KWA AJILIA YA KUMUACHA - HII HAINGILIANI KABISA NA KUTO KUMJALI MWANANO- NA ZAIDI AKIWA AMESIMAMA BUNGENI KUTETEA WANANCHI IKIWA VIZAZI VYAKE VINA HANGAIKA IKIWA KAKA YAKE SASHA AMBAE AMEMTOA MJINI BAADA KUJULIKANA NA KUMPELEKA MTWARA AMEKUA MLEVI HUKO WKT BORA ANGEMUACHA HAPA GARAGE ALIKUA ANA JIPATIA RIZIKI YAKE ...... WANAO WOTE WAWILI HAWAJALI ..... KAMA MZAZI INAUMA ...... NYIO MSIO JUA UCHUNGU WA MTOTO WALA UGUMU WA KUWA SINGO MAZA FUNGENI MIDOMO YENU VISEBENGO WAKUBWA SUBIRI YENU !!!!!!!!!!! NA BAADA YA YOTE KUNIPELEKA MAHAKANI NATOA HELA ZANGU NA KESI INAZUNGUSHWA..... KILA NINAPO FIKA MAHAKAMANI LZM NILIPE NA ADA YA MWANASHERIA m.2 ...... KAMA  SIO KUKOSA UBINAADAMU NI NINI ????? - SIKILIZENI SINA ASILI YA KITUMWA NIKO KATIKA TAIFA HURU NA NITASEMA NA KUFANYA KILE NINACHO AMINI..... NA NINA AMINI KIONGOZI BORA ANA ANZIA NYUMBANI........... LKN MWISHO WA SIKU YOTE MAISHA NITASIMAMA TU NA NITAWEZA LKN WKT MWINGINE BINAADAMU LZM TUSEME YALIYO MOYONI ILI TUENDELEE NA YAJAYO...... NARUDIA TENA KWA YOYOTE ANAE SHANGAA HILI NI MPUMBAVU NA AMETOKA KWENYE FAMILIA ZA KINAFKI ZINAZO FUNIKAGA VITU AMBAVYO HAVI STAHILI KUFUNIKWA!!!!!!!!!!" Faiza Ali

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NIMEIPENDA HII!NI FUNDISHO KWA WAZAZI WOTE WENYE UJINGA KAMA HUU,HATA KAMA KUNA UGOMVI KWA WAZAZI MTOTO APATE HAKI YAKE.
    AKIPIGIWA SIMU HAPOKEI,AKITUMIWA WATU ANALETA JEURI,KUMBE FAIZA AFANYEJE?SHWAINI ZENU MNAOMSHAMBULIA FAIZA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ladies you also have to own your share of responsibility, kwanini uzae na mtu ambaye hajakuoa in the first place? Hata uchumba wa kudanganyishia basi, mnajirahisi sana miili yenu at the end of the day mzigo ni wako pekee. Kama angekuwa anampenda angemuoa kwanza, sasa kujilengesha mimba ndio mwishoni mnajiliza kama hamjui uzazi wa mpango!

      Delete
  2. Okota okota hiii wacha yawakute

    ReplyDelete
  3. sema sema mama sugu

    ReplyDelete
  4. Unataka msaada WA Mimi na Kuma ulishaianika wazi mitandaoni,nenda buguruni utapata Tu za matunzo

    ReplyDelete
  5. Hv wanaume ni nn jamn mnashindwa kutunza watoto wenu..mimi mume wangu fanya vyote watoto wake acha tutagombana mm na yy lakn watoto watapata kila kitu chakula nguo mahitaji yote muhimu na starehe zote atawapa na huwezi jua kama kuna ugomvi yani ugomvi wangu na wake watoto hauwahusu..Mungu ampe maisha marefu huyu baba fanya vyooote watoto wake ndo moyo wake yupo radhi kufa kwa ajili ya wanae na ndo inavyotakiwa kwa baba na watoto wote wanampenda baba kuliko hata mm yani kuna wakati napata wivu jinsi watoto walivyo na attention kwa baba yao zaidi yangu..lakn huyu mbunge ni chefuuu jamn...khaaa kisa nn usitunze mwanao na pesa unazo inatia hasira

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeshasema MUME, sasa huyu ni hawara jua kutofautisha. Ukizini hovyo na kuzaa lazima mabalaa kama haya yakukute.

      Delete
  6. Pumbavu wewe kajiuze wewe yani unamuambia akajiuze ili apate hela ya matunzo mfyuuuuuuu...hovyoooo jitu zima

    ReplyDelete
  7. Hivi kweli ni mama inahusu kuandika hivi mtaandaoni
    Mwanao unampa shida na kilema cha maisha
    Ugomvi wako na mbunge hamuhusu mtoto
    Utafanya mtoto awe mobing na wenzake shule

    ReplyDelete
  8. Hayo kayasema Faiza bado upande wa Sugu nae huwezi kusikiliza hukumu ya upande mmoja

    ReplyDelete
  9. Nawewe Mwanamke Hujiheshimu, Vinguo Gani Unavyovaaga Ikiwa Unajua Unamtoto? Mdomo Wako Mchafu, Kwanza Mtoto Mdogo Kulilia Kusuka Ili Iweje? Atongozwe Na Nani? Huyo Ni Mwanafunzi Nywele Kama Ni Kusuka Ni Zile Za "Twende Kilion" Ambazo Gharama Yake Haizidi Elfu Mbili.Pia Unaweza Ukampeleka Saluni Zikanyolewa Zikawa Za Kuchana Kwa Blash. Mimi Nilifikiri Analilia Chakula Hakuna Kumbe Vitu Vya Anasa Na Kwa Umri Wake Wala Havimhusu. Endelea Kumlea Kwa Matawi Ya Juu Mwisho Wake Utauona.

    ReplyDelete
  10. Enter your comment...Nimependa SINAASiRI Ya *KITUMWA NAIISHI TAIFA HURU" nikweli 2napaswa kuish atakavo koz syo wa2mwa kufanya unachojisikia ili mladi usivunje sheria wala kumkwanza m2 katka maisha yangu huwa nasema kama mwanaume hatonijalia wanangu kwa kasoro zetu bas nitabadili adi jina hato itwa Eleen Edwin bali ataitwa Eleen Doreen coz mimi ndo nilim2nza 2mbon miez 9 haijalish ulimuweka wewe kwani ningeamua kutomzaa asingekuwepo ivo iko sku atamkumbuka mtoto na kuona ubora wake polee Faiza yaliyomo yamoo wapo wataosema uko wrong wapo wataosema uko vyema hyo yote n kuexpres your self jaman inauma sana tena sana ashwa baba mtoto akiwa na pesa yaan n bora aliye kuzalisha humjui au alishatoweka dunian et mweshmiwa kah! kwa mwanao hata kama umpend mke na mtoto pia mmmmh pole Sasha.

    ReplyDelete
  11. siwezi kumzalilisha mtoto wangu kiasi hichi!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad