Faiza Ally "Najua Nilikosea Kupost Mwanangu Akiwa Analia..Naomba Rathi ila...

Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:
Kutoka kwa Faiza Ally

"Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ya watu....niko tayari kupata misukosuko ya aina yoyote ili kuleta mabadiliko kwa mateso wanayo pitia wanawake na watoto... Ntasimama kwenye ukweli hata kama naumia kutukanwa na wamama wasio jielewa lkn mwisho wa siku ntawapa ujasiri wa kusimamia haki zenu na watoto wenu....NAJUA NIMEKOSA KUPOST MWANANGU AKIWA ANA LIA..... Lkn hiyo ndio ilikua njia pekee ya kuonyesha umma kuwa kuna haya... Mtoto ni jukumu la baba na mama ! Hata kama wamama tunajikaza kutunza watoto wetu lkn mwisho wa siku tuna umia na tunahitaji misaada kutoka kwa wenzi wetu.... Na sio mahitaji tu na mapenzi  ya baba na mtoto....Najua nchi yangu bado wana wake wako nyuma ktk kuungana na kujisimamai lkn mm ntajitolea na najua haita kuwa faida ya mmoja itakua ya wengi... Na hata wanaume wengine watajifunza kupitia hapa! Ntasimama... Ntawajibika... Na ntashiriki... Ikiwa binafsi! Serekali au makampuni binafsi kwa ajilia yangu na wanawake wengine ......KWA MTANZANIA YOYOTE NILIE MUUMIZA KUPITIA VIDEO YA SASHA NAOMBA RATHI LKN NAOMBA MSIANGALIE TU VIDEO ANGALIENI NA MAMBO MENGINE YA MUHIMU KTK HILI....! #HAKUNA JAMBO RAHISI..." Faiza Ally
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Faiza my dear please tuliza akili yako sasa usipost tena maelezo meengi ambayo hayatakusaidia. Please my friend stop it. Ujue unavyozidi kujiongelesha ndivyo unavyozidi kumpa sugu KIBURI na kumfanya aonekane Innocent ila. Kitendo cha wewe kukiri hadharani kuwa jana ulikosea kupost picha ya mtoto tayari ni credit kwa SUGU, it doesnt matter kama ulimuaibisha au la. Ungejua mara baada ya kupost ile clip ya mtoto ungekaa kimya usiposti chochote tena na ujumbe ungekuwa umefika.

    Next time ukitaka kufikisha ujumbe kwa SUGU usimtumie mtoto wako please unapajua dodoma nenda kwenye viwanja vya bunge na bango mbona atakutafuta tu yeye mwenyewe chemba fasta. Please mtoto hatakiwi kabisa kushirikishwa mis understanding zako na sugu wako. At that point she is so young please have mercy on her. Mwache aje akue ayaone mwenyewe.

    Nawewe sugu moto chini please take your responsibility, lea mtoto wako hata kama mama yake ana makosa kiasi gani huyo ni mwanao na ni damu yako toa hela ya matunzo kama hutoi anza kutoa hivi hujisikii aibu mbunge mzima unadhalilika hivyo, Shame on you.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli mamie! Kwa upande mwingine uko sahihi.!

    ReplyDelete
  3. Kick kupitia kwa mtoto?shame on u

    ReplyDelete
  4. Nasikitika kama kweli mh mbunge anayafanya haya,lkn pia kuna taasis nyingi sana za kutetea haki za watoto nenda huko dada yangu utasaidiwa au ustawi wa jamii hicho ulichokifanya umejiabisha hata wewe mwenyewe kwa kitendo kukosa hata pesa ya kusuka mtoto

    ReplyDelete
  5. RADHI NA SIO RATHI!!!!!Shule gani swahili grammar jamani....

    ReplyDelete
  6. Lea mtt ako acha kiki kupitia mtt ww, huyo ni mwanao umeingia labour ww acha ujinga mwanaume hajui uchungu kamwe!!!

    ReplyDelete
  7. Sawa bibie,
    tunamjua Sugu,ni mbunge lakini kwenye suala la malezi ni sifuri kwani.Yuko kijana wake mwingine choka mbaya,ukiambiwa ni mtoto wa mbunge unaweza usiamini.Nakusifu ulifanya vizuri kukaa na kulea mwanao mwenyewe,japo yako yanayosemwa lakini ni afadhali kuliko kama angekaa kwa babake.Jipe moyo siku moja haya mapito yatakwisha.Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  8. Huyu ni mgonjwa, single mothers hatuko hivyo! Kwani hajui sehemu za kushtaki mpaka amu abuse mtoto kwa upuuzi wake?! Mpaka naanza kuhisi siku akivuta anakuwa anamsema mtoto wake aende kwa baba yake anunuliwe so and so, shame on her.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad