Siku Tatu zimepita Toka wakazi waliovunjiwa nyumba zao maeneo ya mkwajuni kwenye bonde la mto msimbazi kuwasha moto na barabani kupinga kufukuzwa kwao maeneo hayo.. sasa eneo hilo ni maji tupu baada ya mvua ya siku moja tu ambayo ilinyesha jana usiku ...Kwa sasa wale waliobakia kwenye vijumba vya mabati imebidi wahame wenyewe bila kupenda na kutafuta ifadhi sehemu zingine.....
Hali ilivyokuwa Sasa Bonde la Msimbazi Baada ya Mvua ya Jana..Waliokataa Kuhama Sasa Wahama Wenyewe Bila Kupenda
4
January 21, 2016
Tags
Dah aiseee........yani kwa kweli hiyo Nchi ni kana Sodoma na Gomora, inahitaji maombezi ya hali ya juu sana.
ReplyDeleteSi walisema hawana pa kwenda,sasa wamehamia ikulu?
ReplyDeleteWe ni mbaya sana temea mate chini yasikukute haya!!!
Deletedah, inasikitisha sana kuwaacha wananchi wakiteseka usiku na mchana kwa kukosa makazi, wachache ndo huponda raha.... poleni sana wote mliopata wakati mgumu na serikali mliyoipenda.
ReplyDelete