Taarifa hizo zinavuja wakati kukiwa na mvutano kati ya chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kinachodai kutohusika kwa namna yoyote na upotevu wa makontena zaidi ya 11,000 ambayo hayakulipiwa ushuru bandarini (Wharfage charges).
TAFFA wanaitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuwajibika katika upotevu huo ulioinyima Serikali kupitia mamlaka hiyo mabilioni ya fedha.
Chanzo: Raia Tanzania
Udaku Special Blog
Uwiiiiiiiiiiiii,hivi kuna sababu kweli Tanzania kuitwa nchi maskini na kutegemea kuombaomba misaada?Mungu wetu endelea kututetea wanyonge,Ibariki serikali ya Tanzania chini ya JPJM.
ReplyDeletehivi hao viongozi wa awamu iliyopita, walikuwa wanafanya nini jamani? dah!! meli nzima inaibiwa? hatari hii!!!
ReplyDeleteHayo ni tuliyoyasikia mpaka sasa. Tafakari tusiyoyajua! Ndio maana waatu walizidi ujeuri, na ninaelewa kwa nini wadada wengi walipigania Fisiem wabaki madarakani.
ReplyDeleteYaani ni pure kichefuchefu kuzisoma habari kama hizo wakati wote mnaujua mwisho wake kuwa hakuna mtu/watu atakae/watakao tajwa kuwa ndio muhusika/wahusika ili sheria ichukue mkondo wake hiyo ndio bongo kuna WAKOLONI "WEUSI WACHACHE" wanaowatala weusi wenzao walio wengi kimabavu in the name of democracy
ReplyDeleteJipu hilo sasa kitambo litatumbuliwa na kama ni kansa basi sehemu ya mwili ni kukata kabisa ili mhusika abaki nusu
ReplyDeleteTena watuambie ya Lowassa ni mangapi, maana ni yeye tu ndio alikuwa anasemwa kwa ufisadi. Hahaaaa Mkwereeee.
ReplyDelete