WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA SUBIRI KWANZA TUJARIBU TUONE KWA HIYO AKAMWAMBIA SIKU YA KUFANYA HILO TENDO ASILE KITU CHOCHOTE KUANZIA SAA TANO NA MIDA YA JIONI WAWEZE KUFANYA KITU HICHO..BAADA YA KUFANYA HICHO KITU KESHO YAKE WEMA AKAANZA KUTEST MKOJO NA VIPIMO VYAKE KUONA KAMA AMENASA MARA VIPIMO VIKAONESHA KAMA AMENASA.BAADA YA KUONA HIVYO AKAPAGWA NA AKAONA NI BORA AENDE KWA DAKTARI WAKE ILI APATE UHAKIKA ZAIDI.
DAKTARI NAYE AKATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI AMEPATA MIMBA.MTANDAO HUU WA UDAKU UNAWAPA HONGERA SANA WEMA SEPETU NA IDRIS
Mungu azidi kukuongoza kwenye safari yenu ya maisha.
ReplyDeleteHuyo jamaa bwege kweli yaani umtie demu leo then kesho acheki mimba kwa kutumia kipimo cha mkojo mimba ionekane huo ni umburura wa hali ya juu. Hiyo mimba alikuwa kama kweli anayo basi alikuwa nayo kwa siku nyingi tu nadiriki kuamini kuwa hiyo mimba ni ya mh. mbunge na siyo ya huyo dogo. kama mnavyomtaka zari apime DNA basi na nyie jipangeni tunasubiri DNA
ReplyDeleteutoto unamsumbua huyo brazameni wa arushaa
DeleteKweli mdau otherwise Mwandishi kakosea
Deleteataakiwa wa mbunge ataitwa mtoto, acha kupaniki na kipimo cha mkojo, kwani wewe umepima DNA?
DeleteWandugu wema alienda kwa daktari (hospitali) kwa ajili ya kusafisha kizazi lakini kutokana na maelezo ya wema ya jinsi gani anajisikia na tumbo lake kwa daktari huyo ndo daktari akamfahamisha wema kwamba ni vema aende kupima kwanza kabla ya kumsafisha.
DeleteMbona watu mnageuza maneno wakati walijieleza wazi na kwa kirefu kwenye radio (clouds Fm) kuanzia saa 4 mpaka saa 7 usiku na kwa kila aliyesikiliza anajua haikuwa hivyo. Mnapata faida gani kuzua mambo jamani??!!! Muogopeni Mungu basi
Kumekucha maelezo yanachanga kidogo kwa sababu hawataki kunyamaza
Deletebaada ya kufanya tendo hilo kesho akapima mkojo akaona kwamba amenasa????!!!!!!
ReplyDeleteHabari kama hizi kwa kweli zanaboa.
ReplyDeleteNdio hayotunayosema unauhadisia uma ulivyompa ujauzito yameeisha kuhusu mimba tufanye mengine tukijamba kwenye gazeti,tukinya wenye gazeti alafu watu wakuacheni kuvipi Na nyinyi hamtaki kukua kukua kutwa kwenye media mnaelezea yunu
ReplyDeleteKweli naungana na mdau hapo juu, how is it possible mimba iingie Leo siku ya pili ionekane positive? He he he, huyu jamaa kaka mkubwa bora Ata angekaa kimya. Hii mimba kama kweli ipo basi itakua ya mheshimiwa that's why bidada aliingia kwa Gia ya kutaka kusafisha ili kumuweka sawa kaka mkubwa. May be hakuwa tayari kuzaa na mh. DNA ihusike labda kama bba kazawadiwa icho kiumbe,maana kitanda hakizai haramu
ReplyDeletembona unabwabwaja kama umekunywa mkojo wa mbwa Anony 2.01 PM. sikiliza vizuri walichokisema Idriss kaongea inshort kiswahili kweshneyyyyy!
ReplyDeleteTehe tehe tehe we acha kunivunja mbavu! uwiiiiiii toba
Deletemmmh mimba ya mwezi mmoja tayari unaanza kuvaa matenite dress!
ReplyDeletekweli idrisa ni kidume cha mbegu, unamastaili , mmenifurahisha sana nyinyi couple
ReplyDeleteCmon u don't get the results a day after
ReplyDeleteCmon u don't get the results a day after
ReplyDeletelakini haya mambo ya kifala sana. Mnawezaje pablisaizi mambo yenu ya ndani namna hii (word wide???) Oh my God.
ReplyDeletewana fatuta kiki,siku hizi bila kujidhalilisha hupati kiki
Deletejamani kasema alianza kutest sio alitest kwa maana alikuwa anachek Mara kwa mara so ilichukua muda mbona kazi mnayo
ReplyDeleteMANENO MENGI YA NINI? TUNATAKA KUONA MTOTO MUDA UKIFIKA!!!!
ReplyDeleteMbumbumbu hao, wakipakuana, wakidendana utapatahabari, pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete