Idriss Sultan Asimulia A to Z Jinsi Alivyompa Mimba Wema Sepetu.....

WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA SUBIRI KWANZA TUJARIBU TUONE KWA HIYO AKAMWAMBIA SIKU YA KUFANYA HILO TENDO ASILE KITU CHOCHOTE KUANZIA SAA TANO NA MIDA YA JIONI WAWEZE KUFANYA KITU HICHO..BAADA YA KUFANYA HICHO KITU  KESHO YAKE WEMA AKAANZA KUTEST MKOJO NA VIPIMO VYAKE KUONA KAMA AMENASA MARA VIPIMO VIKAONESHA KAMA AMENASA.BAADA YA KUONA HIVYO AKAPAGWA NA AKAONA NI BORA AENDE KWA DAKTARI WAKE ILI APATE UHAKIKA ZAIDI.
DAKTARI NAYE AKATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI AMEPATA MIMBA.MTANDAO HUU WA UDAKU UNAWAPA HONGERA SANA WEMA SEPETU NA IDRIS

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu azidi kukuongoza kwenye safari yenu ya maisha.

    ReplyDelete
  2. Huyo jamaa bwege kweli yaani umtie demu leo then kesho acheki mimba kwa kutumia kipimo cha mkojo mimba ionekane huo ni umburura wa hali ya juu. Hiyo mimba alikuwa kama kweli anayo basi alikuwa nayo kwa siku nyingi tu nadiriki kuamini kuwa hiyo mimba ni ya mh. mbunge na siyo ya huyo dogo. kama mnavyomtaka zari apime DNA basi na nyie jipangeni tunasubiri DNA

    ReplyDelete
    Replies
    1. utoto unamsumbua huyo brazameni wa arushaa

      Delete
    2. Kweli mdau otherwise Mwandishi kakosea

      Delete
    3. ataakiwa wa mbunge ataitwa mtoto, acha kupaniki na kipimo cha mkojo, kwani wewe umepima DNA?

      Delete
    4. Wandugu wema alienda kwa daktari (hospitali) kwa ajili ya kusafisha kizazi lakini kutokana na maelezo ya wema ya jinsi gani anajisikia na tumbo lake kwa daktari huyo ndo daktari akamfahamisha wema kwamba ni vema aende kupima kwanza kabla ya kumsafisha.

      Mbona watu mnageuza maneno wakati walijieleza wazi na kwa kirefu kwenye radio (clouds Fm) kuanzia saa 4 mpaka saa 7 usiku na kwa kila aliyesikiliza anajua haikuwa hivyo. Mnapata faida gani kuzua mambo jamani??!!! Muogopeni Mungu basi

      Delete
    5. Kumekucha maelezo yanachanga kidogo kwa sababu hawataki kunyamaza

      Delete
  3. baada ya kufanya tendo hilo kesho akapima mkojo akaona kwamba amenasa????!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Habari kama hizi kwa kweli zanaboa.

    ReplyDelete
  5. Ndio hayotunayosema unauhadisia uma ulivyompa ujauzito yameeisha kuhusu mimba tufanye mengine tukijamba kwenye gazeti,tukinya wenye gazeti alafu watu wakuacheni kuvipi Na nyinyi hamtaki kukua kukua kutwa kwenye media mnaelezea yunu

    ReplyDelete
  6. Kweli naungana na mdau hapo juu, how is it possible mimba iingie Leo siku ya pili ionekane positive? He he he, huyu jamaa kaka mkubwa bora Ata angekaa kimya. Hii mimba kama kweli ipo basi itakua ya mheshimiwa that's why bidada aliingia kwa Gia ya kutaka kusafisha ili kumuweka sawa kaka mkubwa. May be hakuwa tayari kuzaa na mh. DNA ihusike labda kama bba kazawadiwa icho kiumbe,maana kitanda hakizai haramu

    ReplyDelete
  7. mbona unabwabwaja kama umekunywa mkojo wa mbwa Anony 2.01 PM. sikiliza vizuri walichokisema Idriss kaongea inshort kiswahili kweshneyyyyy!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tehe tehe tehe we acha kunivunja mbavu! uwiiiiiii toba

      Delete
  8. mmmh mimba ya mwezi mmoja tayari unaanza kuvaa matenite dress!

    ReplyDelete
  9. kweli idrisa ni kidume cha mbegu, unamastaili , mmenifurahisha sana nyinyi couple

    ReplyDelete
  10. Cmon u don't get the results a day after

    ReplyDelete
  11. Cmon u don't get the results a day after

    ReplyDelete
  12. lakini haya mambo ya kifala sana. Mnawezaje pablisaizi mambo yenu ya ndani namna hii (word wide???) Oh my God.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wana fatuta kiki,siku hizi bila kujidhalilisha hupati kiki

      Delete
  13. jamani kasema alianza kutest sio alitest kwa maana alikuwa anachek Mara kwa mara so ilichukua muda mbona kazi mnayo

    ReplyDelete
  14. MANENO MENGI YA NINI? TUNATAKA KUONA MTOTO MUDA UKIFIKA!!!!

    ReplyDelete
  15. Mbumbumbu hao, wakipakuana, wakidendana utapatahabari, pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad