Jakaya Kikwete Apewa Shavu Nono na Rais John Magufuli...Sasa ni Mkuu wa Chuo


Magufuli amteua Kikwete kuwa Mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, UDSM..Soma Hapa chini


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuoelewa na siasa kurupushi ndio pekee zinazoweza kumtuhumu kikwete ila wanaoenda dip kamwe watampongeza uongozi una hatua yeye amefanya yake tumuwache jembe nae afanye yake.ubinadamu ni kama ngozi ya chui.hongera mr jk & jp

    ReplyDelete
  2. kuoelewa na siasa kurupushi ndio pekee zinazoweza kumtuhumu kikwete ila wanaoenda dip kamwe watampongeza uongozi una hatua yeye amefanya yake tumuwache jembe nae afanye yake.ubinadamu ni kama ngozi ya chui.hongera mr jk & jp

    ReplyDelete
  3. Tunaomba Katiba ya Nchi na Watu kwanza.

    ReplyDelete
  4. wale wale,yale yale.mwananchi wa kawaida yake macho na masikio,basi.hana uwezo,hana ushauri,hana ushawishi.viongozi wetu ndio wenye mamlaka na uwezo wa amri za kufuatwa na teuzi zooote.wanalalamika wananchi,wanatoa ushahidi mwingi wa tuhuma na mwisho wa siku wanaonekana ni wapuuzi, wanajipotezea muda,ni majungu,ni fitina.kwa hiyo?ni heri wakae kimya,kimya kabisa,HAKUNA KUSIKILIZWA HAPA.wale wale,yale yale,wasubirie tuu, wananchi, uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020 panapo uhai.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad