Karueche Amchokonoa Chris Brown....Atangaza Kuhitaji Penzi Sasa

ALIYEKUWA mpenzi wa staa wa pop, Chris Brown, mwanamitindo na muigizaji, Karreuche Tran amefunguka kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa kwa sasa amefungua milango ya uhusiano na kwamba yupo tayari kumpokea mpenzi baada ya kukaa mpweke kwa muda mrefu japo amedai itakuwa vigumu kumpata mpenzi wa kweli ambaye ataweza kumpa mapenzi ya dhati.

Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad