Kilichotokea Jana Bungeni Kinatuweka Njia Panda ya Hatari Sana Wananchi....

Fujo Bungeni Jana
Kama tunaweza kuruhusu askari aingie ndani ya Bunge,amkung'ute Mbunge vibao na kumbeba mzobemzobe kumtoa nje ya ukumbi mahali ambapo alikuwa hafanyi fujo ya kuhatarisha usalama wake binafsi au wa wengine bali kutetea anachokiamini na ambacho bila shaka anaamini waliomtuma Bungeni wanakiamini pia (Fujo za malumbano ya maneno ni kawaida ya Mbunge), basi tupo njia panda ya hatari sana

Jeff Msangi
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Upumbavu na ujinga wetu
    Wacha yatukute, nchi zote dunia zilizoendekea hakuna chama kilichookaa madarakani miaka 50
    Watanzania tukubali ccm hata aje nani itabaki vile vile
    Cha msingi ni kuitoa madarakani
    Wamekuja Na mbinu mpya
    Wacha yatukute kwa kura zetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad