January Makamba |
Makamba amesema kwenye kikao cha tume cha tarehe 21 January cha kuamua kutangazwa kuamua kurudiwa kwa uchaguzi, akidi ilitimia na wengi walikubaliana na uamuzi ule. Kwa hiyo uamuzi ni halali kisheria na kikatiba na katiba ya Zanzibar inasema hakuna mwenye mamlaka hata mahakama ya kuhoji au kuchunguza maamuzi yanayotolewa na tume kuhusu uchaguzi.
Amesema hayo Bungeni wakati akitoa ufafanuzi Bungeni kuhusu Mkwamo wa Kisiasa unaoendelea Visiwani Zanzibar.
Mtazame Hapa;
Ccm wasenge Kweli
ReplyDeleteSana tu. Kusafishana kila kisu. Bado tu kuanza kuchambishana matako!!! Inekuwa kama mizezeta fulani isiyokubali kushindwa wala kuambiwa ukweli. Fuck them all!!!!!
ReplyDeleteYa Zanzibar tuachie wenyewe wanzanzibar
ReplyDeleteSamia , Magufuli wote wameufyata
Wewe kinda nenda Lushoto
Zanzibar unaijuwa wewe
inamaana hili jungu la kurejewa kwa uchaguzi limepikwa BARA? lengo ni kutuangamiza wanzanzibar na majeshi yenu pamoja na makaidi wenu seif iddi? yaliyompata rais wa 1995 kutopata hata jicho la kichina subirini Allah yupo na yeye ndiye tegemeo letu sie nyie.
ReplyDeleteshukran magufuli kwa kuufyata kimya mgogoro wa zanzibar na waziri wako kumsafisha jecha kwa harama aliyoifanya wache wale dhulma kikawaida dhulma haiondoki tupu inshallah.
ReplyDeleteDua la CUF halimpati CCM,ahsnte mungu kwani naanza kuona nafasi ya umakamu wa kwanza wa rais wa ZNZ unanukia kwangu.Amakweli kufa kufaana na ukisusa wenzako twala!
ReplyDeletekula kwa matonge hapo utakapozipa pumzi ndio utajua dhulma ni nzuri au mbaya mfano wa firauni alitakabar na kuona hata Mungu kuwa yeye mbona mwisho wa siku alishahadia na kukubali kama Mungu yupo, Rashid Mamba alinyanyua mikono na kukufuru mbona alioza kiungo kimoja kimoja na wengineo ila tunachoamini Mungu yupo na dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi abadani endeleeni kwa mapana NI DUNIANI TU HAPA!
ReplyDelete