Kuna mshikaji wangu ana mpenz wake lakini alivyonambia huwa hafurahii tendo kwa sababu ya huyo mpenzi wake kutoa harufu mbaya kila wanapoanza kufanya sex
Na sasa hivi ana mpango wa kuachana nae kimya kimya bila kumwelezea tatizo
Suluhisho kwa hili tatizo
Tafadhari mwenye ujuzi wa namna ya kuondoa tatizo hilo afunguke hapa
Dah kweli tatizo linahitaji msaada sorry for that
ReplyDeletemshkaji wako au wewe
ReplyDeleteWala ilo siyo tatizo kubwa,yeye amshauri uyo dem wake akaonane na gynecologist
ReplyDeleteHiyo rafik yako hampendi mpz wake. Hata kama kishaamua kumuacha amwambie ili bnti ajitibie. Ataachwa na wangapi? Atumie misk yaweza msaidia kama si side infection. Ila kumuona gyner muhimu.
ReplyDeleteKila mtu anamapungufu yake..unapofikiria kuacha..na wewe wapo wanaofikiria kukuacha...utaacha wangapi bhana...afunguke tu kwa mpenzi wake...aongee nae kwa hekima...waende hospitali...that is true love
ReplyDelete