Kutoa Harufu Mbaya Sehemu za Siri Kwa Wanawake.

Kuna mshikaji wangu ana mpenz wake lakini alivyonambia huwa hafurahii tendo kwa sababu ya huyo mpenzi wake kutoa harufu mbaya kila wanapoanza kufanya sex
Na sasa hivi ana mpango wa kuachana nae kimya kimya bila kumwelezea tatizo
Suluhisho kwa hili tatizo
 Tafadhari mwenye ujuzi wa namna ya kuondoa tatizo hilo afunguke hapa
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah kweli tatizo linahitaji msaada sorry for that

    ReplyDelete
  2. mshkaji wako au wewe

    ReplyDelete
  3. Wala ilo siyo tatizo kubwa,yeye amshauri uyo dem wake akaonane na gynecologist

    ReplyDelete
  4. Hiyo rafik yako hampendi mpz wake. Hata kama kishaamua kumuacha amwambie ili bnti ajitibie. Ataachwa na wangapi? Atumie misk yaweza msaidia kama si side infection. Ila kumuona gyner muhimu.

    ReplyDelete
  5. Kila mtu anamapungufu yake..unapofikiria kuacha..na wewe wapo wanaofikiria kukuacha...utaacha wangapi bhana...afunguke tu kwa mpenzi wake...aongee nae kwa hekima...waende hospitali...that is true love

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad