Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo…
‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa huyo anayetaka kufanya mambo ya vituko,binafsi sipendi na huwa sifurahii na najaribu kuwaasa tena kwenye Instagram huwa nawaambia waangalie hao mashabiki wao ‘maandazi’ lakini sasa unakuta mtu mwenyewe anapenda mambo hayo sasa itafika siku nitakuja kufanya kitu na asije mtu akalalamika,’’alisema Mzee Yusuf.
Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee Yusuf Asema Haya Kwa Wake Zake
9
January 07, 2016
Tags
Ila jamani kusema ukweli nampenda sana Leila,ni mpenzi wa kila rika,mwenye nacho na asie nacho,hana makuu huyu dada.Mungu amjalie.
ReplyDeleteNipe mie mmoja ili nikupunguzie ghasia
ReplyDeleteKwa kweli Leila ni mwanamke haswaa - Mashaallah
ReplyDeletevumilia
ReplyDeleteLeila ni mwanamke wa shoka,kavumilia mengi kwa mzee ila huyo Kijuso mmhh.
ReplyDeleteHaituhusu
ReplyDeleteHivi nauliza kwanini waislam mnaoa wake wengi
What's wrong
Cha ajabu nipo Saudi Arabia
Wote wana wake mmoja
Watanzania au waafrica what's wrong
Usiwe mjinga ndugu yangu nenda kasome utaelewa usiwe katika kundi la 4
ReplyDeleteHawa wote maboya, huyu bwege anatafuta gia ya kuongezawake saba kabisa. Huyu wa kulia mbona ana shepu ya kutisha, mzee unasisimka kweli??
ReplyDeleteKuna mwimbaji aliimba; HILO NI CHAGUO LAKOOOO..............
ReplyDelete