Kutokana na Malumbano Yao Mitandaoni, Mzee Yusuf Asema Haya Kwa Wake Zake

Jana ilikuwa siku ya kuzaliwa Mzee Yusuf,kumekuwa na malumbano ya mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii kati ya wake zake wawili Leila na Chiku,Mzee Yusuf amesema hafurahishi na malumbano hayo…

‘’Sio vitu vizuri sifurahii huwa najaribu kuwaaambia sijui hawa wake zangu wananionaje ,pengine hawajui kuwa mimi ni mume wao hawanipi heshima yangu na hasa huyo anayetaka kufanya mambo ya vituko,binafsi sipendi na huwa sifurahii na najaribu kuwaasa tena kwenye Instagram huwa nawaambia waangalie hao mashabiki wao ‘maandazi’ lakini sasa unakuta mtu mwenyewe anapenda mambo hayo sasa itafika siku nitakuja kufanya kitu na asije mtu akalalamika,’’alisema Mzee Yusuf.


Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ila jamani kusema ukweli nampenda sana Leila,ni mpenzi wa kila rika,mwenye nacho na asie nacho,hana makuu huyu dada.Mungu amjalie.

    ReplyDelete
  2. Nipe mie mmoja ili nikupunguzie ghasia

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli Leila ni mwanamke haswaa - Mashaallah

    ReplyDelete
  4. Leila ni mwanamke wa shoka,kavumilia mengi kwa mzee ila huyo Kijuso mmhh.

    ReplyDelete
  5. Haituhusu
    Hivi nauliza kwanini waislam mnaoa wake wengi
    What's wrong
    Cha ajabu nipo Saudi Arabia
    Wote wana wake mmoja
    Watanzania au waafrica what's wrong

    ReplyDelete
  6. Usiwe mjinga ndugu yangu nenda kasome utaelewa usiwe katika kundi la 4

    ReplyDelete
  7. Hawa wote maboya, huyu bwege anatafuta gia ya kuongezawake saba kabisa. Huyu wa kulia mbona ana shepu ya kutisha, mzee unasisimka kweli??

    ReplyDelete
  8. Kuna mwimbaji aliimba; HILO NI CHAGUO LAKOOOO..............

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad