Lowassa: Utajiri Wangu Usitumike kwa Lengo la Kuchafuana Katika Siasa, Ndugu zangu Aliyepata Amepata

Mkubwa wa kazi ambaye amewahi kushika nafasi kubwa za uongozi katika taifa hili na mwenye kasi ya ajabu katika medani za siasa, uchumi katika chama chake, amekuwa akiwaonya wapinzani wake kutotumia kete ya mali zake kama njia ya kumchafua ki siasa.

Amesema hapendezwi na hilo, na jambo hilo halina tija kwa siasa zetu za Tanzania, kuna mijadala mingi ya ki taifa ya kujadili kwa maendeleo yetu na siyo mali zake kwani anazo mali za kawaida kuliko inavyozushwa.

Kakazia kwamba wapinzani wake wasijikite katika mali zake kwani "ALIYEPATA AMEPATA".

Haya wadau hizi ndiyo siasa za bongo watu wamewekeza kwenye kuchafuana tu. Chama cha CCM kazi ipo.

Toa Maoni yako....

Udaku Special Blog

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni kweli kabisa vidole havilingani. wakuache na mali zako. mbona sio za kutisha?nashangaaa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwizi tuu huyoo

      Delete
    2. katembea na mama yako koma wewe senge la ccm

      Delete
    3. msenge baba ako
      shoga la ukawa wewe

      Delete
  2. Kweli aliyepata kapata mla mlajana kwa kikwete aliyekula kwa magufuli Kala nini kaishia kubomolewa nyumba Na wtt tisa santeeee

    ReplyDelete
  3. mwizi mwizi mkubwa

    ReplyDelete
  4. hakuna lolote lowasa unatuzuga baada ya kutuibia vya kutosha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad