Inasemekana Mwanamke huyo amekutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.dunia ina mambo hii duuuuu
Tunafatilia Habari Kamili kisa cha huyo dada kuishi ndani ya Shimo la choo..
Lord have mercy on us
ReplyDeleteWabongo muachege uzushi huyu dada ni mgonjwa wa akili na amepotea nyumbani kwao wanamtafuta ni mama wa watoto wawili ana mume wake, nyumbani anakoishi ni Masaki ya Kisarawe alikuja Tabata kusalimia ndipo alipopotelea basi muachege uongo wa msukule na imani za kishirikina ona majuso yalivyowakomaa kwa imani za kichawi bila aibu mumemtembeza uchi mama wa watu anayesumbuliwa na ugonjwa wa akili angekua ndugu yako ungesema hivyo? acheni zenu nyie watanzania mnapitiliza sasa mfyuuu
Delete.UCHAWI UPO. kama huna YESU unalogwa tu
ReplyDeletehakuna cha uchawi duniani ni wewe na mawazo yako huyo mdada ni mgonjwa wa akili sikiliza taarifa ya habari ndugu zake wanamtafuta
Deleteni uzushi tu? chezea serikali ya kisanii inadili na kukonga nyoyo za mashabiki kwa mbwembwe hata matendo hakuna DRT imefeli..kufungia star tv rfa vikowapi tunauhakika hivi vyombo vya maccm havijawahi kulipa kodi..kwa ufupi tunatapeliwa bila kujijua
ReplyDeleteUmedandia treni kwa mbele mdau.
DeleteRudi ukajipange!
Deleteusipende kuhusisha siasa na hayo mambo na umejuaje kama ni ccm
ReplyDeleteEE MUNGU UTUONGOZE.WALE MNAOPENDA VYA BURE BILA KUVITAFUTA HUO NI MFANO TOSHA.
ReplyDeleteEE MUNGU UTONGOZE
ReplyDeleteIlisha andikwa tangu kitambo ktk vitabu vitakatifu ya kwamba tajir kuona ufalme wa Mungu ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, maneno yanatimia!!!!!!
ReplyDeleteDuuu jamani maisha haya
ReplyDeleteInasikitisha sana lkn mungu atamlipia uyo Dada.Mimi nna ndugu yangu alikua anaishi ulaya alirudi mwaka Jana mwezi saba lkn hakukaa ata mwezi yaaan katoweka kwenye mazingira ya kutatanisha so isije ikaw ndo michezo iyo,ustaman utajir wa mtu uwezi jua kaupataje
ReplyDelete