Maajabu..Mwanamke Akutwa Chini ya Shimo la Choo...Inasemekana Aliwekwa Kama Msukule..Samahani kwa Picha

Picha hizi Zinasambaa Mtandaoni hasa Instagram zikimuonyesha Mwanamke akiwa hivyo

Inasemekana Mwanamke huyo amekutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.dunia ina mambo hii duuuuu

Tunafatilia Habari Kamili kisa cha huyo dada kuishi ndani ya Shimo la choo..
Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Wabongo muachege uzushi huyu dada ni mgonjwa wa akili na amepotea nyumbani kwao wanamtafuta ni mama wa watoto wawili ana mume wake, nyumbani anakoishi ni Masaki ya Kisarawe alikuja Tabata kusalimia ndipo alipopotelea basi muachege uongo wa msukule na imani za kishirikina ona majuso yalivyowakomaa kwa imani za kichawi bila aibu mumemtembeza uchi mama wa watu anayesumbuliwa na ugonjwa wa akili angekua ndugu yako ungesema hivyo? acheni zenu nyie watanzania mnapitiliza sasa mfyuuu

      Delete
  2. .UCHAWI UPO. kama huna YESU unalogwa tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna cha uchawi duniani ni wewe na mawazo yako huyo mdada ni mgonjwa wa akili sikiliza taarifa ya habari ndugu zake wanamtafuta

      Delete
  3. ni uzushi tu? chezea serikali ya kisanii inadili na kukonga nyoyo za mashabiki kwa mbwembwe hata matendo hakuna DRT imefeli..kufungia star tv rfa vikowapi tunauhakika hivi vyombo vya maccm havijawahi kulipa kodi..kwa ufupi tunatapeliwa bila kujijua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umedandia treni kwa mbele mdau.

      Delete
    2. Rudi ukajipange!

      Delete
  4. usipende kuhusisha siasa na hayo mambo na umejuaje kama ni ccm

    ReplyDelete
  5. EE MUNGU UTUONGOZE.WALE MNAOPENDA VYA BURE BILA KUVITAFUTA HUO NI MFANO TOSHA.

    ReplyDelete
  6. EE MUNGU UTONGOZE

    ReplyDelete
  7. Ilisha andikwa tangu kitambo ktk vitabu vitakatifu ya kwamba tajir kuona ufalme wa Mungu ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, maneno yanatimia!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Duuu jamani maisha haya

    ReplyDelete
  9. Inasikitisha sana lkn mungu atamlipia uyo Dada.Mimi nna ndugu yangu alikua anaishi ulaya alirudi mwaka Jana mwezi saba lkn hakukaa ata mwezi yaaan katoweka kwenye mazingira ya kutatanisha so isije ikaw ndo michezo iyo,ustaman utajir wa mtu uwezi jua kaupataje

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad