Kwa utafiti wangu mdogo unaonesha kuwa katika makabila yote ya hapa Bongo tzee, mabinti wa kabila la Kichaga ndio hasa wanaongoza kwa kulilia ndoa.
Yani ukikaa naye kwenye mahusiano ndani ya kipindi kisichozidi mwaka, lazima atakuwa ameshaanza kulilia ndoa.
Sasa ninaomba kufahamu kuwa huwa ni suala la kisaikolojia au ndivyo mila zao zinavyowafundisha kufanya hivyo?
Mabinti wengi wa kabila jingine huwa ni wavumilivu, hata kama watalilia, watalilia kindani ndani na wala huwezi jua mpaka kidume uamue kutangaza njaa ya kuweka ndani...
Toa maoni yako
Udaku Special Blog
Ila huyu si mchaga ni mkenya labda banana mwandishi rudi tena shuleni
ReplyDeleteHatutaki unzinzi ndio maana tunataka ndoa.
ReplyDeleteKwani WAKIKUYU na WACHAGA wana tofauti? huyo ni mchaga me namjua vizzuri tuu.
ReplyDeleteMistori ya kutunga tofauti Na picha mambo google hayo
ReplyDeleteWachaga nomaaa, na wakaka zetu mlivyo malimbukeni siku hizi kila mtu anataka kuoa mchaga!! wakati wachaga wenyewe wavivu kunako bed!! eti ohooo, wanajua kutafuta!!! wakati mkishatafuta anakudhulumu kila kitu!!! ebu jiongezeni basi acheni ushamba!! nendeni mkaoe kwenu!! wakati wanaume wa kichaga hawataki kuoa chasaka!! nyinyi mambumbu ndio mnawakimbilia dada zao!!! nyie vipiiii!!!!
ReplyDeletewachaga noma mnatafuta wote baadae anaweza hata kukufanyia njama za kukuuwa kabisa ili amiliki mali mimi bina fsi sioi mchaga labda nilogelezewe
ReplyDeletematapeli hao,wanashauriwa kwao,,wanaambiwa kuwa anaweza akaachwa na kuolewa mwingine ndio maana unakuta wanataka waolewe fasta na waanze kuwatapeli mali waume zao wapeleke kwa
ReplyDeleteMatapeli hao,wanashauriwa kwao cuz wanajua chance za wao kuolewa ni finyu sana...so ndo maana wanakua fasta kuolewa ili waanze kuwatapeli hao wanaume kwa kuwekeza kwao
ReplyDeletehawafai ni matapeli,,huwa wana tumwa na wazazi wao kuwa wafanye hivyo ili wamiliki mali za hao wanaume cuz wanajua wao chance za kuolewa ni chache.
ReplyDeletehawafai ni matapeli,,huwa wana tumwa na wazazi wao kuwa wafanye hivyo ili wamiliki mali za hao wanaume cuz wanajua wao chance za kuolewa ni chache.
ReplyDeleteHivi mtaacha lini ulimbukeni?Ooh mchagga anapenda pesa mbonana hadi wazungu wanapenda pesa nao ni wachagga?mchagga ana shepu je huyo mchagga kajiumba mwenyewe?Wazungu kibao wana shepu hizo za kichagga wameumbwa na nani?kuhusu wizi utapeli hayo ni maneno tu yenu na wivu mwanamke wa kichagga anajuwa kuitafuta pesa wewe kaa ndani jitume kitandani utakula kujituma kitandani.Mwanamke wa kichagga ategemei mwanaume mtajiju nyoko zenu.😬
ReplyDeleteHivi mtaacha lini ulimbukeni?Ooh mchagga anapenda pesa mbonana hadi wazungu wanapenda pesa nao ni wachagga?mchagga ana shepu je huyo mchagga kajiumba mwenyewe?Wazungu kibao wana shepu hizo za kichagga wameumbwa na nani?kuhusu wizi utapeli hayo ni maneno tu yenu na wivu mwanamke wa kichagga anajuwa kuitafuta pesa wewe kaa ndani jitume kitandani utakula kujituma kitandani.Mwanamke wa kichagga ategemei mwanaume mtajiju nyoko zenu.��
ReplyDeletekarne hii makabila yote yanalilia ndoa hii inatokana na uwiano wa idadi ya wanaume n wanawake duniani apart from other psychological factors
ReplyDelete