Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwasili mkoani Geita na akakutana na uongozi wa mkoa huo ambapo alisisitiza suala la wananchi kunufaika na mgodi wao wa dhahabu wa Geita Gold Mine.…
"Wakati nilipopita kwenye kampeni nilipita kwenye mgodi wa Geita Gold Mine nikaangalia hali ya watu wa Geita nikawa na majonzi makubwa…sikuridhika kuwa na mgodi mkubwa kama ule na hali ya watu wa Geita iko ilivyo hivi nikawa sikuridhika nilikuwa mkali kidogo." Alisema Mama Samia na kuongeza;
"Wakati naangalia presentation nimeona amount nzuri kidogo inatolewa kwenda kwa watu ingawa bado ninamaswali yangu ambayo nitayafanyia kazi ili tuone ni kiasi gani sahihi kinatakiwa kutolewa na mgodi kwenda kwa wananchi, dhahabu iliyopo niyawana Geita Mungu amewaumbia katika ardhi yao
"Hatukatai kuwa na wawekezaji wachimbe lakini uchimbaji uwe na faida kote wao wapate na wananchi wapate kwa hiyo hatunabudi kusimamia vizuri na kuhakika kwamba wananchi wa Geita wanafaidika na rasilamali ambayo Mwenyezi Mungu amewapangia."
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa GGM Mkoani Geita jana Januari 04,2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya wawekezaji wa Mgodi wa GGM Mkoani Geita alipowasili Uwanja wa ndege wa GGM Geita jana Januari 04, 2016 kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili ya kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo Mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa Geita Mhe. Fatma Mwassa akizungumza wakati akitoa Taarifa ya Maendeleo ya Mkoa wa Geita, kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia), katika kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, jana Januari 4, 2016. Katikati ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Injiani Gerson Lwenge.
Huu ni utumwa kwanini mlinzi abebe handbag yake
ReplyDeleteFyuuu huyu ni mlinzi si mbeba handbag
Mbona marais wanawake duniani tena nchi tajiri wanabeba wenyewe handbag zao
Fyuu Tanzania huu ni u yanyasaji wa walinzi wa kike
Hata Kama ni risala basi apwewe jukwaani
Hawa walinzi hutumia mwanya huu kutorosha pesa au madawa ya kulevya
Lakini huku ughaibuni hakuna hili
Magufuli futa hiiiiiiiii
Hayakuhusu ukubebeshwa wewe tulia tafuta soda ya baridi unywe kama joto limekuzidi mix uu
ReplyDeleteKoma wewe mjinga unafikiri sifa kubebeshwa begi
DeleteMbona hateembei na wake jamani tunaona waziri mkuu na mkewe ziarani
ReplyDeleteWanawake na tunataka sisi viongozi juu tumtembeleee na waume zetu kama wafanyanyo wanaume, Bilali na wake zake wawili walikuwa waliikitwa kuwa wageni rasmi
Bi samia tembea na mumeo vile vile naye awepewe ulinzi Kama mke wa waziri mkuu
Na si mlinzi huyu tazama namwangalia mkuu wa kusilikiza udaku badala ya kutizama nani atamshambulia makamu rais
ReplyDeleteHaya tunabana matumizi kuweka ndugu zetu kuwa walinzi wetu wakati Hawana sifa za ulinzi binafsi kwa viongozi kwanza hata yeye naona naona uza sura hapo walinzi wapo nyuma
Magufuli huyu aliyebeba pochi analipiwa na nani
Hivi Tanzania jamani viongozi wadogo hawa wanahitaji ulinzi huuuu
Polisi wapo hawatoshi
Toba yalianza awamu ya tatu mchanga aakanzisha ngo yake furs a kwa wote
ReplyDeleteAwamu nne ukaizigia mti krismas dhahabu Kila kona ya mwili mwanamke madhahabu nam hapo ndo na mapochi yaanza, wakuu wa mikoa na mawaziri walimuogopa kupita rais mwenyewe
Akaja na wama na kweli ktk awamu Tanzania imetuletea matatizo ya kiungozi na uaadlifu awam ya nne