MAKUBWA..Mwanamuziki wa Bongo Kuchoma Gari lake Moto Endapo Arsenal itafugwa na Chelsea leo

Leo kutakuwa na mchezo mkali wa ligi kuu ya England kati ya mabingwa watetezi Chelsea dhidi ya Barcelona.

Msanii Madee ni mmoja wa mashabiki wa Arsenal ambaye leo atakuwa mpinzani mkubwa wa Chelsea.

Katika kuonyesha mapenzi yake kwa klabu yake ya Arsenal, kwenye ukurasa wake wa @Instagram Madee ameahidi kuchoma gari yake moja moto endapo timu yake ya Arsenal itafungwa na Chelsea.

Hivi ndivyo alivyoandika..

"Tukifungwa leo na chelsea nachoma gari yangu moja moto" Madee
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahaaaaa! Madee uko juu kama Ozil the assister, leo lazima Chelsea afe mapemaaa pale emirates stadium

    ReplyDelete
  2. Kwa jeuri gani?

    ReplyDelete
  3. Si mpumbavu ndio maana

    ReplyDelete
  4. Km ndio hivyo ndg yangu hizo pesa z si bora ukatoe sadaka kwa watoto yatima liuze upate uwapatie kituo cha kulelea watoto buguruni au magomeni mapipa hivyo mungu hapendi

    ReplyDelete
  5. jeuri hiyo hana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad