Maoni ya Wananchi: Ni Sawa Kusitisha Matangazo ya Bunge LIVE TBC?
5Udaku SpecialJanuary 27, 2016
Je,Unadhani ni haki kwa serekali kukatiza matangazo ya moja kwa moja kwa shughuli za bunge?
Tutoe maoni yetu hapa serekali itayaona na kuyafanyia kazi.
Karibuni!
Kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi kupata habari naomba serikali ya Magufuli kama anavyosema yeye aachane na dhana ya Nape kwani kutamfedhehesha kwa kutowapa wananchi wake kwa yale yanayojili Bungeni. Kama ni gharama sisi ndio tunalipa kodi, kama ni maumivu tumezoea kwa hela za escrow hatujui nani wamekula, chanji ya rada hatujui, visent vyote hatujui nani kala sebuse tuogope kubeba mzingo ambao unatupa habari kwa faida yetu Nape toa dharau zako unajua tumechoka sana tunaona kichefuchefu unapozuia habari. unatuona sisi mazezeta au sivyo. Habari ni haki yangu, nipe kwa wakati na kuwa live!! kwa hilo hata magufuli hatutamwelewa.
We unayesema serikali hujui wewe ndo unayefanya serikali. Wengi nchini hawaelewi.bila watu hamuna serikali. Na ni kodi xa wananchi xinaxowalipa wabunge ili wawkilishe bungeni matatixo kwa niaba ya watu nape ni muoga kwa yaliyofanyika nyuma. Mabadilimo waliyoyataka watu ni uhuru si udictata. Basi aa he cho akae pembeni na Kikwete aliyewaa ha hawa wai uruge nci. Asindikwe ndani. Na huenda atasindikwa tu. Hapa Magufuli kazi tu. Wengi wamemufuata offisini mumjsribu.Magufyli usiwasikilize. Fumua watu wote bila kujali cheo.
SERIKALI YA CCM YA AWAMU YA TANO IMESHINDWA KULIHESHIMU BUNGE NA WABUNGE NI AIBU KUBWA.HUU NDIO UKWELI.MKAKATI WA KULIHARIBU BUNGE ULIPANGWA NA KUKUBALIWA KWENYE KIKAO CHA SEMINA ELEKEZI YA WABUNGE WA CCM INJINIA MKUU AKIWA PIUS MSEKWA KWA NIABA.SASA,HUU NI UHALIFU MKUBWA WA KISIASA.KWA MAONI YANGU BUNGE HILI LILILOJAA UKANDAMIZAJI MKUBWA,UONEVU,DHARAU VYOTE KUTOKEA UPANDE WA CCM HALITADUMU NDUGAI NA CHENGE WANAFANYA KILE WALICHOTUMWA.HAKUNA MWENYE AKILI TIMAMU ATAKAYEKUBALI HAYO.MIMI NAPENDEKEZA MAWILI,AIDHA SPIKA NDUGAI ANAJIUZULU USPIKA KWA KUSHINDWA VIBAYA KULIENDESHA BUNGE KWA WELEDI WA KISIASA AU BUNGE HILI LIVUNJWE NA UCHAGUZI MKUU UANDALIWE UPYA.HAPA TANZANIA HAKUNA SASA HESHIMA YA BUNGE NA WABUNGE KAMA WATUNGA SHERIA.BUNGE LIMEKUA LA CCM PEKEE KWA KILI WANACHOTAKA NA KILE WANACHOONA. WABUNGE WAPINZANI WANAPIGWA NA ASKARI [KWA KUAMRISHWA] WABUNGE WETU SASA NI KAMA VILE WEZI.WANADHALILISHWA WAANDISHI WA HABARI KWA KUPORWA VITENDEA KAZI VYAO.INALETA HUZUNI KUBWA SANA.
Haiwezekani kila siku vita bungeni. CCM lazima wajue kuwa kuna tatizo. Wapinzani sio vichaa; ni watu wazima kiakili na kiumri, wasomi wazuri na wengi wanajua sheria. Pia wanapendwa na wananchi. CCM mkubali makosa haiwezekani mpingwe kila saa. Wanaowapinga sio vichaa.... jamani mbona hivi? Nape huna woga wewe? Kila mara kuleta amri za kutesa wee nani?
Kwa kuwa ni haki ya kila mwananchi kupata habari naomba serikali ya Magufuli kama anavyosema yeye aachane na dhana ya Nape kwani kutamfedhehesha kwa kutowapa wananchi wake kwa yale yanayojili Bungeni. Kama ni gharama sisi ndio tunalipa kodi, kama ni maumivu tumezoea kwa hela za escrow hatujui nani wamekula, chanji ya rada hatujui, visent vyote hatujui nani kala sebuse tuogope kubeba mzingo ambao unatupa habari kwa faida yetu Nape toa dharau zako unajua tumechoka sana tunaona kichefuchefu unapozuia habari. unatuona sisi mazezeta au sivyo. Habari ni haki yangu, nipe kwa wakati na kuwa live!! kwa hilo hata magufuli hatutamwelewa.
ReplyDeleteupepo tuu huu utapita najua serikali ikiamua imeamua hata watu waandamane imeshaamua
ReplyDeleteWe unayesema serikali hujui wewe ndo unayefanya serikali. Wengi nchini hawaelewi.bila watu hamuna serikali. Na ni kodi xa wananchi xinaxowalipa wabunge ili wawkilishe bungeni matatixo kwa niaba ya watu nape ni muoga kwa yaliyofanyika nyuma. Mabadilimo waliyoyataka watu ni uhuru si udictata. Basi aa he cho akae pembeni na Kikwete aliyewaa ha hawa wai uruge nci. Asindikwe ndani. Na huenda atasindikwa tu. Hapa Magufuli kazi tu. Wengi wamemufuata offisini mumjsribu.Magufyli usiwasikilize. Fumua watu wote bila kujali cheo.
ReplyDeleteSERIKALI YA CCM YA AWAMU YA TANO IMESHINDWA KULIHESHIMU BUNGE NA WABUNGE NI AIBU KUBWA.HUU NDIO UKWELI.MKAKATI WA KULIHARIBU BUNGE ULIPANGWA NA KUKUBALIWA KWENYE KIKAO CHA SEMINA ELEKEZI YA WABUNGE WA CCM INJINIA MKUU AKIWA PIUS MSEKWA KWA NIABA.SASA,HUU NI UHALIFU MKUBWA WA KISIASA.KWA MAONI YANGU BUNGE HILI LILILOJAA UKANDAMIZAJI MKUBWA,UONEVU,DHARAU VYOTE KUTOKEA UPANDE WA CCM HALITADUMU NDUGAI NA CHENGE WANAFANYA KILE WALICHOTUMWA.HAKUNA MWENYE AKILI TIMAMU ATAKAYEKUBALI HAYO.MIMI NAPENDEKEZA MAWILI,AIDHA SPIKA NDUGAI ANAJIUZULU USPIKA KWA KUSHINDWA VIBAYA KULIENDESHA BUNGE KWA WELEDI WA KISIASA AU BUNGE HILI LIVUNJWE NA UCHAGUZI MKUU UANDALIWE UPYA.HAPA TANZANIA HAKUNA SASA HESHIMA YA BUNGE NA WABUNGE KAMA WATUNGA SHERIA.BUNGE LIMEKUA LA CCM PEKEE KWA KILI WANACHOTAKA NA KILE WANACHOONA. WABUNGE WAPINZANI WANAPIGWA NA ASKARI [KWA KUAMRISHWA] WABUNGE WETU SASA NI KAMA VILE WEZI.WANADHALILISHWA WAANDISHI WA HABARI KWA KUPORWA VITENDEA KAZI VYAO.INALETA HUZUNI KUBWA SANA.
ReplyDeleteHaiwezekani kila siku vita bungeni. CCM lazima wajue kuwa kuna tatizo. Wapinzani sio vichaa; ni watu wazima kiakili na kiumri, wasomi wazuri na wengi wanajua sheria. Pia wanapendwa na wananchi. CCM mkubali makosa haiwezekani mpingwe kila saa. Wanaowapinga sio vichaa.... jamani mbona hivi? Nape huna woga wewe? Kila mara kuleta amri za kutesa wee nani?
ReplyDelete