Mapya Yaibuka Baada ya Shilole Kufuta Tattoo ya Nuhu..Kumbe Picha za Mademu Wengine wa Nuhu Ndio Chanzo

Shilole ameifuta ‘tattoo’ ya aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda baada ya kuachana,lakini Nuh hajaifuta na hana mpango kwa sasa wa kuzifuta ‘tattoo’ hizo.

‘’Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa,’’Alisema Nuh.

Hata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi kuwapost mademu zake wapya mara tu baada ya kuachana.

‘’Mimi nimewahi kufuta tattoo kwa sababu yeye alianza kuwapost mademu zake wapya Instagram baada ya kuachana,’’Alisema Shilole.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. masupa star wa bongo
    akili zimelala
    bongo lala

    ReplyDelete
  2. Shilole ana ngozi mbayaaaa. Mikorogo ya bei poa.."I love you is my country. ..."

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad