Martin Kadinda Ataja Mipango Mipya kwa Wema Sepetu 2016...Adai Skendo Sasa Basiiiii

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.

wemaa na kadinda

Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.

Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.

Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi tena kule kule. Lakini cha umuhimu ninachomuomba Mungu tuweze kurudi katika hali ya kawaida na kikubwa tunachopigania ni kuwa nje ya drama na tuwe watu ambao tunafanya biashara,” aliongeza.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawezi fanya uupuuzi wake kimya kimya

    ReplyDelete
  2. aache utoto na maisha ya kujifanyaa awe yeye kama yeye

    ReplyDelete
  3. Yetu macho masikio
    Alee hiyo mimba

    ReplyDelete
  4. si mlimuita tasa sasa mimba alee wapi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kasema ana mimba lakini hajaona hizo picha za mimba tena miezi 6

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad