Maskini Wema Sepetu Aandika Ujumbe wa Kuhuzunisha Kumjibu Shabiki Aliyemtukana Kuhusu Ugumba Wake..
Wema Ameandika Haya Maneno kwa Uchungu......
Maskini Wema Sepetu Aandika Ujumbe wa Kuhuzunisha Kumjibu Shabiki Aliyemtukana Kuhusu Ugumba Wake
16
January 23, 2016
Tags
mmi katika kuishi kwangu sijawahi kusikia mgumba msichana ambaye jhafikikisha miaka hata 30 bado licha ya40 na hajaolewa akaa ktk ndoa na kukokasa mtoto hii ni maajabu ya musa sijui wanatumia vigezo gani kumwita mgumba msichana mdogo ambaye hajaolewa inanishangaza sana
ReplyDeleteTatizo wadada wasiku hizi mnajiachia sana kwenye sex mnatoa mimba nyingi matokeo yake ndo hayo
ReplyDeleteNdio ustar huo dada sijazaa mwaka 15 hamna anaenijua tangu niolewe naishia kuleA wa ndg zangu lkn nashkuru mungu amenipa uzima nafanya yangu Na naongoza familia kaza moyo omba mungu wala usichoke ipo sk utacheka Na wako km wenzio umaarufu ndio ulivyo mdogo wangu hujakosa lolote lililokua jipya kwako. mama Sunde.
ReplyDeleteKwan mmekosa vitu vya kuandika
ReplyDeleteKwan mmekosa vitu vya kuandika
ReplyDeleteWema si ana mimba ya miezi sta? ? Haya aliyasema alipopigiwa simu na udaku. Ila haijajulikana kama ya Idrissa poyoyo au mbunge machachari. Baada ya miezi mitatu atakuwa mama fulani kama walivyo akina mama Cookie, mama Paula, mama Curtis,mama Rubby , mama Taraj n.k.Subira yavuta kheri.
ReplyDeletekazi ipo super star bongo?
ReplyDeletehuyu wema angefocus zaidi kwenye kazi yake ya sanaa na sio kuandika ujinga kutafuta attention kwa watu haisaidi
cheki akina genevive wako kimataifa jifunze kwa hao we kila kutwa bifu tuu kwenye mitandao
khaa shauri yako ndio maisha uliyoyachagua una team inakukubali wape kazi nzuri wanunue umake money
mpaka dakika hii ulitakiwa uwe umeshafanya makubwa sanaa katika sanaa ulitakiwa uwe na kazi nyingi za kimataifa lkn wala hujali sanaa yako
hata hiyo team yako sijui inakupendea nini?
Makubwa aliyoyafanya ni kunoa majando na kulea wanaume. Sasa hivi anamlea Idrisa. Mnamibia kapumzishwa anasubiri raundi ijayo.
Deletewema hatafuti attention yoyote yeye kaandika instagram waliohamisha kutoka ig kuja huku ama mazetini ndo wanaotafuta attention.
Deletekazi yenu kumnyooshea kidole wema kila siku lakini mnasahau vidole vitatu vinakunyoosheeni wenyewe.
kama ana uwezo wa kulea wanaume ina maana hategemei mtu kwenye maisha yake tatizo liko wapi hapo??
Mtamchokonoa sana wema lakini atabaki kuwa yeye mambo mengi mnamsemea nyie wala yeye haongeagi
wema we msichana alafu nikioo cha jamii mm nikupe ushauri bure dear mwanamke ni stara kwaiyo najua unakipindi kigumu lkn we mzuri hata kitabia inatakiwa utuoneshe subra ili hata sisi tunaokupenda tujue how strong you are
ReplyDeleteKuhusu wema kuznfika yote kwenye mitandao hiyo si kweli Kuna yapo anayoandika Na Kuna yapo anayofuatiliwa ila ya yeye kujijua Na mengine akiwa kwenye filamu wenziwe wanaweka mitandaoni kwa kuuza magazeti yao ...lkn mungu atamsaidia
ReplyDeleteidrissa alsema hakuna mwanamke mgumba icpokuwa n dam 2 kuendana na mwanaume
ReplyDeleteKwhiyo Idrisa poyoyo ana maana damu ya CK, Ommy, Kiba, Chaz baba, na msururu wote wa Wema haukuendana nae damu?? Haka kajamaa kapumbaff sana. Kamelewa k*m* ya community hall (Wema). Sasa kanaropoka tu. Hajui kwenye community hall wanaocheza na kutumbuiza ni wengi. Hela yao tu. Na yeye na vile vi 300 vyake anajiona jogoo la mjini. Mfyuuu
ReplyDeleteWatu wanapenda scandal
ReplyDeleteShoga yake mange yupo wapi
Mzungu kamshindwa kwa umbeya
wema nyota yako iko juu wanaokupenda ni zaidi wanaokuchukia kuzaa sio sifa wala ugumba sio matusi ni mapenzi ya aallah wangapi wamezaaa na wamefiwa na watoto ukubwani wamebaki na majina hewa muhim ni kumuabudu mungu na kufuata maamrisho yake maisha ni ya kupita wangapi wamezaa na kufa wakiacha watoto wanazagaa mtaani
ReplyDeleteMaisha ni mapambano ipo siko Mungu atakupa taji. Sarah aliishi miaka tisini na tisa Mungu alimpa mtoto Isaka. Zidi kumuomba Mungu nina imani atakupatia.
ReplyDeleteAnanymous January 27, 2016