Maskini Wema Sepetu Aandika Ujumbe wa Kuhuzunisha Kumjibu Shabiki Aliyemtukana Kuhusu Ugumba Wake

Maskini Wema Sepetu Aandika Ujumbe wa Kuhuzunisha Kumjibu Shabiki Aliyemtukana Kuhusu Ugumba Wake..

Wema Ameandika Haya Maneno kwa Uchungu......

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmi katika kuishi kwangu sijawahi kusikia mgumba msichana ambaye jhafikikisha miaka hata 30 bado licha ya40 na hajaolewa akaa ktk ndoa na kukokasa mtoto hii ni maajabu ya musa sijui wanatumia vigezo gani kumwita mgumba msichana mdogo ambaye hajaolewa inanishangaza sana

    ReplyDelete
  2. Tatizo wadada wasiku hizi mnajiachia sana kwenye sex mnatoa mimba nyingi matokeo yake ndo hayo

    ReplyDelete
  3. Ndio ustar huo dada sijazaa mwaka 15 hamna anaenijua tangu niolewe naishia kuleA wa ndg zangu lkn nashkuru mungu amenipa uzima nafanya yangu Na naongoza familia kaza moyo omba mungu wala usichoke ipo sk utacheka Na wako km wenzio umaarufu ndio ulivyo mdogo wangu hujakosa lolote lililokua jipya kwako. mama Sunde.

    ReplyDelete
  4. Kwan mmekosa vitu vya kuandika

    ReplyDelete
  5. Kwan mmekosa vitu vya kuandika

    ReplyDelete
  6. Wema si ana mimba ya miezi sta? ? Haya aliyasema alipopigiwa simu na udaku. Ila haijajulikana kama ya Idrissa poyoyo au mbunge machachari. Baada ya miezi mitatu atakuwa mama fulani kama walivyo akina mama Cookie, mama Paula, mama Curtis,mama Rubby , mama Taraj n.k.Subira yavuta kheri.

    ReplyDelete
  7. kazi ipo super star bongo?
    huyu wema angefocus zaidi kwenye kazi yake ya sanaa na sio kuandika ujinga kutafuta attention kwa watu haisaidi
    cheki akina genevive wako kimataifa jifunze kwa hao we kila kutwa bifu tuu kwenye mitandao
    khaa shauri yako ndio maisha uliyoyachagua una team inakukubali wape kazi nzuri wanunue umake money
    mpaka dakika hii ulitakiwa uwe umeshafanya makubwa sanaa katika sanaa ulitakiwa uwe na kazi nyingi za kimataifa lkn wala hujali sanaa yako
    hata hiyo team yako sijui inakupendea nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Makubwa aliyoyafanya ni kunoa majando na kulea wanaume. Sasa hivi anamlea Idrisa. Mnamibia kapumzishwa anasubiri raundi ijayo.

      Delete
    2. wema hatafuti attention yoyote yeye kaandika instagram waliohamisha kutoka ig kuja huku ama mazetini ndo wanaotafuta attention.

      kazi yenu kumnyooshea kidole wema kila siku lakini mnasahau vidole vitatu vinakunyoosheeni wenyewe.

      kama ana uwezo wa kulea wanaume ina maana hategemei mtu kwenye maisha yake tatizo liko wapi hapo??

      Mtamchokonoa sana wema lakini atabaki kuwa yeye mambo mengi mnamsemea nyie wala yeye haongeagi

      Delete
  8. wema we msichana alafu nikioo cha jamii mm nikupe ushauri bure dear mwanamke ni stara kwaiyo najua unakipindi kigumu lkn we mzuri hata kitabia inatakiwa utuoneshe subra ili hata sisi tunaokupenda tujue how strong you are

    ReplyDelete
  9. Kuhusu wema kuznfika yote kwenye mitandao hiyo si kweli Kuna yapo anayoandika Na Kuna yapo anayofuatiliwa ila ya yeye kujijua Na mengine akiwa kwenye filamu wenziwe wanaweka mitandaoni kwa kuuza magazeti yao ...lkn mungu atamsaidia

    ReplyDelete
  10. idrissa alsema hakuna mwanamke mgumba icpokuwa n dam 2 kuendana na mwanaume

    ReplyDelete
  11. Kwhiyo Idrisa poyoyo ana maana damu ya CK, Ommy, Kiba, Chaz baba, na msururu wote wa Wema haukuendana nae damu?? Haka kajamaa kapumbaff sana. Kamelewa k*m* ya community hall (Wema). Sasa kanaropoka tu. Hajui kwenye community hall wanaocheza na kutumbuiza ni wengi. Hela yao tu. Na yeye na vile vi 300 vyake anajiona jogoo la mjini. Mfyuuu

    ReplyDelete
  12. Watu wanapenda scandal
    Shoga yake mange yupo wapi
    Mzungu kamshindwa kwa umbeya

    ReplyDelete
  13. wema nyota yako iko juu wanaokupenda ni zaidi wanaokuchukia kuzaa sio sifa wala ugumba sio matusi ni mapenzi ya aallah wangapi wamezaaa na wamefiwa na watoto ukubwani wamebaki na majina hewa muhim ni kumuabudu mungu na kufuata maamrisho yake maisha ni ya kupita wangapi wamezaa na kufa wakiacha watoto wanazagaa mtaani

    ReplyDelete
  14. Maisha ni mapambano ipo siko Mungu atakupa taji. Sarah aliishi miaka tisini na tisa Mungu alimpa mtoto Isaka. Zidi kumuomba Mungu nina imani atakupatia.

    Ananymous January 27, 2016

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad