Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.
Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.
Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.
Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.
NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Toa ujinga hapa
ReplyDeleteKoma hadithi nyingine za kipumbavu
ReplyDeleteLabda hata wewe chini hakusimami vizuri
Au unapenda mzecho wa mugongo
Au nawe unataka tendo la jinsia
Tanga tulikuwa na mabasi yaitwayo ZAFANANA
Mchele ule ule mapichi hutofautiana
Tia viungo , chachandu
Utakula tu na utapenda
Mkemee pepo!
ReplyDeleteWewe mtu mzima shinda vishawishi achana na hayo mambo tena hata hilo wazo ondoa kichwani mqako
ReplyDeleteDah napita tuu lkn huyo mdau wa aliyesema basi la zafanana Na tanga sikuelewa kabisa lkn funny �� mlani shetani huo Ni moja ya mitihani hapa duniani
ReplyDeleteMTEGO HUO.INGIA UNASWE.HUAMINI INGIA UONE BAADAE NIELEZEE.
ReplyDeleteSikujua kama unaweza kutunga hadithi tamu hivyo
ReplyDeleteKula kitu, bahati unaichezea!
ReplyDelete