Mdogo Wake Mke Wangu Anataka Kunifuta Machozi

Nimeoa mwaka 2009 na tumebahatika kuzaa watoto wawili.Kwa hivi sasa ndoa yangu imeyumba zaidi kwani unyumba ninapewa kwa mwezi mara mbili tena kama msaada.

Kuna dalili zote mke wangu amepoteza mvuto na mimi kwani hata nikihitaji penzi amekuwa unwilling, lakini mke wangu ana mdogo wake wa kike ambaye ni robo tatu mama mwenye nyumba kwasababu anafanya kila kitu nyumbani.

Mke wangu yeye akitoka kazini ni kusingizia amechoka basi nikuwasha Tv kuangalia tamthilia ni takribani miezi miwili sasa, uhusiano wetu na mdogo wake ulianza kuchukua sura mpya ile tabia ya kuniwekea chakula mezani imehamia kuniletea chumbani cha ajabu leo asubuhi kaja kunidekia chumbani na night dress dada yake akiwa kazini.

Moyo wangu kama binadamu umeanza kumuangukia na alichonieleza dakika ishirini zilizopita ni kwamba dada leo atalala msibani nyumba ya pili kwa hiyo atakuja kulala kwangu nimepigwa na butwaa.

NAOMBENI USHAULI NIMKEMEE PEPO AU NIFUTWE MACHOZI
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Toa ujinga hapa

    ReplyDelete
  2. Koma hadithi nyingine za kipumbavu
    Labda hata wewe chini hakusimami vizuri
    Au unapenda mzecho wa mugongo
    Au nawe unataka tendo la jinsia
    Tanga tulikuwa na mabasi yaitwayo ZAFANANA
    Mchele ule ule mapichi hutofautiana
    Tia viungo , chachandu
    Utakula tu na utapenda

    ReplyDelete
  3. Wewe mtu mzima shinda vishawishi achana na hayo mambo tena hata hilo wazo ondoa kichwani mqako

    ReplyDelete
  4. Dah napita tuu lkn huyo mdau wa aliyesema basi la zafanana Na tanga sikuelewa kabisa lkn funny �� mlani shetani huo Ni moja ya mitihani hapa duniani

    ReplyDelete
  5. MTEGO HUO.INGIA UNASWE.HUAMINI INGIA UONE BAADAE NIELEZEE.

    ReplyDelete
  6. Sikujua kama unaweza kutunga hadithi tamu hivyo

    ReplyDelete
  7. Kula kitu, bahati unaichezea!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad