LOWASSA Awekwa Mtegoni Kuhusu Urais 2020..Je Ataheshimu Maamuzi ya Chama Kama Asipoteuliwa Kugombea Urais Tena

Kufuatia  kauli ya aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa ya kugombea tena urais mwaka 2020, Mkuu wa Oganaizesheni wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amemhoji Lowassa kama atakuwa tayari kuendelea kutumikia Ukawa kama jina lake halitapendekezwa kugombea nafasi hiyo.

Sungura amesema kauli hiyo ya Lowassa kupambana tena katika kinyang’anyiro cha urais mwaka 2020 kunategemea maamuzi ya chama kupitisha jina lake.

“Nimemsikia Lowassa anasema kuwa anajiandaa kupambana na Rais John Magufuli mwaka 2020, lakini je, yuko tayari kuheshimu maamuzi ya chama kwa maslahi ya wakati huo?” Alihoji Sungura.



Udaku Special Blog

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Linakuuma sio, tulia tu haina haja ya kulalamika wewe NCCR, Lowassa Chadema, yanini kuzungumzia ya Chadema.

    ReplyDelete
  2. Huyu ni UKAWA mwenzako si kwa MBATIA AU.Tuliwaambia nyie ni wabaguzi na hamna jipya, anachokisema Sungura ni kweli nyie mmewadanganya wenzenu hasa Chadema na CUF. Nyie endelezeeni ubaguzi utawatafuna na hamtaweza kusimama tena. ALUTA CONTINUA.

    ReplyDelete
  3. Kwa maslah ya CHADEMA ingefaa mkaachana na wazo la kumsimamisha tena Lowasa.mzee wa kubadili gia angani zingatia sana hili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad