Gigi! Kuna mtu kakwambia ukipiga picha hizo unapendeza? Kakudanganya! Una umbo zuri ukivaa mavazi flani ya kujisitiri unapendeza zaidi na bado umbo litaonekana!
Labda kama Una mpango wa kufanya sex tape!!
.
Ni maisha yako binafsi hayatuhusu? Well! Usiyaweke mtandaoni ulimaanisha tukuone na tukujadili! Watu wanajiachia ila wewe ni too much!!
Soma Baadhi ya Comments za Wadau Walivyokasirika;
vinny_cruzz; Naomba kujua kabila la huyu dada.....alaf ni mtanzania??maana wazaz au ndugu wa karb wangeshakuja juu kama ni wakibongo...hawa ndo wanafanya jua liwe kali na nuksi ziongezekege
kitoberoo; Hayo mambo amuachie tunda..!!hata kama anatufuta madanga bac atapata majanga loh Sio kwa michup hyo kama fuko la mashine
luidjacqueline; Yaani huyu mtu ni chefuchefu moja chaaafu hadi kinyaa! Ptuuu
Mdau na wewe una ushauri Gani Kwa Gigy Money?
Hayo ndio matunda ya facebook twitter generation unafikiri huyo binti hapo juu kizazi chake kama akija kupata mtoto/watoto unategemea watakuwa vipi?Ukipanda magugu of coz utavuna magugu na sio mpunga
ReplyDeleteUnaboa mwanangu hizo kiki unazotafuta
ReplyDeletena nyie mnakosea mtu kama huyu ni kumwacha akieka picha za iv hakuna wala ku comment uone kama kesho atapost tena
ReplyDeleteuki comment una mpa kick