Mrembo Gigy Money Aja na Mpya..Apiga Picha za Nusu Utupu na Kuziweka Mtandaoni..Wadau Wakereka

Gigi! Kuna mtu kakwambia ukipiga picha hizo unapendeza? Kakudanganya! Una umbo zuri ukivaa mavazi flani ya kujisitiri unapendeza zaidi na bado umbo litaonekana!

Labda kama Una mpango wa kufanya sex tape!!
.
Ni maisha yako binafsi hayatuhusu? Well! Usiyaweke mtandaoni ulimaanisha tukuone na tukujadili! Watu wanajiachia ila wewe ni too much!! 

Soma Baadhi ya Comments za Wadau Walivyokasirika;

vinny_cruzz; Naomba kujua kabila la huyu dada.....alaf ni mtanzania??maana wazaz au ndugu wa karb wangeshakuja juu kama ni wakibongo...hawa ndo wanafanya jua liwe kali na nuksi ziongezekege

kitoberoo; Hayo mambo amuachie tunda..!!hata kama anatufuta madanga bac atapata majanga loh Sio kwa michup hyo kama fuko la mashine

luidjacqueline; Yaani huyu mtu ni chefuchefu moja chaaafu hadi kinyaa! Ptuuu

Mdau na wewe una ushauri Gani Kwa Gigy Money?


Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hayo ndio matunda ya facebook twitter generation unafikiri huyo binti hapo juu kizazi chake kama akija kupata mtoto/watoto unategemea watakuwa vipi?Ukipanda magugu of coz utavuna magugu na sio mpunga

    ReplyDelete
  2. Unaboa mwanangu hizo kiki unazotafuta

    ReplyDelete
  3. na nyie mnakosea mtu kama huyu ni kumwacha akieka picha za iv hakuna wala ku comment uone kama kesho atapost tena
    uki comment una mpa kick

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad