Diamond, Zari na Tiffah |
Diamond alijibu hii ishu kwenye exclusive interview, na pia Soudy Brown kaamua kumtafuta Zari kusikia pia anachukuliaje hizo story za mitandaoni.
Zari kasema kachoshwa na maneno kuhusu mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwa hiyo hata kama ni mtoto wa Diamond au sio wake, wanaozungumzia DNA hawamhusu chochote.
Kingine Zari amesema wana mtoto huyo mmoja lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu na Diamond.
Soudy Brown ‘Makorokocho‘ na Zari utawasikia kwenye hii U Heard niliyorekodi na kukusogezea sauti yake hapa, bonyeza play uipate mtu wangu.
Mzaifu wa makeup huna lolote tulia mtoto WA kiume aliyesema maisha nyumba nani mshamba umeibiwa boring
ReplyDeleteSo what move on
ReplyDeleteanatapatapa na dunia hajui baba wa mtoto ndo maana
ReplyDeletena wanaomtukana Wema Zari ndo kawatuma au Dai. kumbe inaumaa!
ReplyDeleteakajishindilie matoys huko. anajistukia mwenyewe
ReplyDeleteKm wewe m.ume kweli tuoneshe
ReplyDeleteD
N
T test resul huna lolote Na kuanzia Leo sio fani wako wala timu yako kumbe bado mtandale unatembea lkn husomi unaona lkn bado kipofu
pumbavu huna akili kwanza nani kakwambia ujipendekeze kuwa team yake??????????? potea kule kapime kwanza DNA uwe na uhakika na baba yako then ndo umwambie Mond akapime shenzi kabisa
DeleteKapime kwanza nyie mjue hao mnaowaita baba Kama kweli Ni baba zenu ndo sasa zari Na yeye akapime.
ReplyDeleteNyie wote mnao Dai DNA hamjui baba zenu sasa mnataka kumalizia hasira kwa Zari. Hilo sio kosa la zari Na Dai kamlaumu mama yako juu.
ReplyDeleteNyie mmepima DNA za watoto wenu??????
ReplyDeleteNyie mmepima DNA zenu???????????
ReplyDelete